Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kubarikiwa
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya dunia kwakuwa na mtoto wakiume.
Haikuwa rahisi ila kwakuwa nilimwachia mungu, naamin Leo ameamua kunijibu.
Hakika subra ni dawa na ponyo tosha Kwa wanaadamu.
Baada ya miaka mingi ya majuto na machozi Kwa mke wangu hatimae Leo amemuona mwanae mwenyewe.
Nashukuru mungu nami alinipa subra na uvumilivu wakuamini kuwa ipo siku tutapata mtoto.
Asikuambie mtu ni mtihani mkubwa saana kuwa kwenye ndoa na ukakosa mtoto Kwa muda mrefu.
Mungu alinipa maneno ya kumfariji Kila nilipomuona mke wangu analia.
Hakika nilikuwa mnyonge saana, ila usiku wa Leo mwanangu amenipa nguvu kubwa saana.
Amefuta Kila aina ya huzuni na kufanya nisahau Kila uchungu niliowahi kuwa nao.
Mungu nitunzie mwanangu, nitafanya Kila niwezalo huyu mtoto aishi Kwa furaha.
Hata kama nikiondoka Leo katika dunia hii najua kuwa nimeacha mtoto.
Tafadhali, nakuomba mungu usinicheleweshee na ndugu zake.
Mungu wape subra na uwafanyie wepesi wale wote wanaopitia katika mtihani huu, hakika wewe ndo mjuzi wa Kila kitu. Kwako halicheleweshwi jambo isipokuwa pale utakapo.
Hakika wamesubiri basi wape shufaa nao waone kizazi Chao.
Ameeeen!
Amina.

na hao wa jumuiya zao ni wa zilizokuwa jumuiya zaoni watoto wa jumuiya zao
Mpaka dakika hii naamini atakua ana mawazobya kutosha kabisa huko aliko 😂😂aaaloooooh mheshimiwa,,usije soma comments za waja humu,,utakufa vibaya weweeeee nakuambia
Kawaida tu, hata bila DNA maisha ya sasa tatizo la kuaminiana ni kubwa sana. Na hata hivyo hupaswi kumuamini mwenza wako 100%Mkuu ushauri wote uchukue ila masuala ya kupima DNA ya puuze kabisa utatengeneza tatizo kubwa la kudumu kati yako na mke wako, la kutoaminiana tena upendo utaondoka.
yani watu hawakwepeshi🤣🤣ni huzuni kwakwelMpaka dakika hii naamini atakua ana mawazobya kutosha kabisa huko aliko 😂😂
Mpaka dakika hii naamini atakua ana mawazobya kutosha kabisa huko aliko 😂😂
Nakushauri upime DNA ili kujihakikishia umiliki wa huyo mgeni mpya aliyewasili hapa duniani leo hii.
Kipimo Cha furaha uliyonayo leo hii itakuwa sawa sawa na kipimo Cha huzuni utakayopata wakati utakapokuja kugundua kwamba kumbe wewe ni baba mlezi tu wa huyo mgeni mpya aliyewasili.
Kwa leo sitaweza kukupongeza kwa ugeni wako huo hadi hapo baadaye nitakapopata majibu ya uhakika ya DNA Test kuhusu huyo mgeni wako.
Hongera sana kwa Zawadi ya mtoto, hongera pia kutambua uwepo wa Mungu katika kupata kwako mtoto. BWANA amtunze mwanao, akue vyema, awe na afya njema.
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya dunia kwakuwa na mtoto wakiume.
Haikuwa rahisi ila kwakuwa nilimwachia mungu, naamin Leo ameamua kunijibu.
Hakika subra ni dawa na ponyo tosha Kwa wanaadamu.
Baada ya miaka mingi ya majuto na machozi Kwa mke wangu hatimae Leo amemuona mwanae mwenyewe.
Nashukuru mungu nami alinipa subra na uvumilivu wakuamini kuwa ipo siku tutapata mtoto.
Asikuambie mtu ni mtihani mkubwa saana kuwa kwenye ndoa na ukakosa mtoto Kwa muda mrefu.
Mungu alinipa maneno ya kumfariji Kila nilipomuona mke wangu analia.
Hakika nilikuwa mnyonge saana, ila usiku wa Leo mwanangu amenipa nguvu kubwa saana.
Amefuta Kila aina ya huzuni na kufanya nisahau Kila uchungu niliowahi kuwa nao.
Mungu nitunzie mwanangu, nitafanya Kila niwezalo huyu mtoto aishi Kwa furaha.
Hata kama nikiondoka Leo katika dunia hii najua kuwa nimeacha mtoto.
Tafadhali, nakuomba mungu usinicheleweshee na ndugu zake.
Mungu wape subra na uwafanyie wepesi wale wote wanaopitia katika mtihani huu, hakika wewe ndo mjuzi wa Kila kitu. Kwako halicheleweshwi jambo isipokuwa pale utakapo.
Hakika wamesubiri basi wape shufaa nao waone kizazi Chao.
Ameeeen!
Bora ukwel unao huzunisha kuliko kujifurahisha kwa uongo. Hii hua ni suala la kitambo kifupi.yani watu hawakwepeshi🤣🤣ni huzuni kwakwel
Nakubaliana na wewe. Haya si mambo ya kuaminiana sanaa kivileWatu wana experience na baadhi ya wanawake....Hao watu si wa kuwaamini 100%.
Unatoaje ushauri kama huu mkuu, unajua maumivu ya kukaa Kwenye ndoa bila mtoto....kuna wakati unajikuta Baba WA watoto wote mtaani...yaani you simply love children sembuse aliyezaliwa na mkeo?
Mkuu puuza mwenye Uzi puuza huu ushauri....you are the real father to your kid.
Dah, Una wivu
Tafiti nyingi sana zinaonyesha kwamba kiini au chanzo cha Migogoro mingi sana pamoja na vyanzo vya ugomvi au Mauaji kwa wanandoa wengi sana hapa duniani ni wivu wa mapenzi, kukosa uaminifu katika ndoa (infidelity) au Wanaume kubambikiwa watoto ambao kimsingi sio watoto wao halisi wa kuwazaa (not biological Fathers). Visa vingi sana vya Mauaji ya wanandoa hususani kwa akina mama na watoto wao huwa vinahusiana na suala la hili la Wanaume kubambikiwa watoto, mambo yanapokuja kujulikana hadharani wakati tayari mwanaume ameshaingia gharama kubwa katika malezi ya watoto ambao baadaye inakuja kuthibitika kuwa siyo wake matokeo yake huwa ni mabaya Sana kupita kiasi.Sitakujibu mengi isipokuwa jibu Moja tu.
Anza wewe kunionyesha majibu ya DNA aliyopima baba Ako kujihakikishia kuwa wewe ni mwanae mzazi.
Kama hayapo basi pongezi Kwa mama yako kukaa na Siri hiyo Kwa miaka mingi.
Hongera sana mkuu.
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya dunia kwakuwa na mtoto wakiume.
Haikuwa rahisi ila kwakuwa nilimwachia mungu, naamin Leo ameamua kunijibu.
Hakika subra ni dawa na ponyo tosha Kwa wanaadamu.
Baada ya miaka mingi ya majuto na machozi Kwa mke wangu hatimae Leo amemuona mwanae mwenyewe.
Nashukuru mungu nami alinipa subra na uvumilivu wakuamini kuwa ipo siku tutapata mtoto.
Asikuambie mtu ni mtihani mkubwa saana kuwa kwenye ndoa na ukakosa mtoto Kwa muda mrefu.
Mungu alinipa maneno ya kumfariji Kila nilipomuona mke wangu analia.
Hakika nilikuwa mnyonge saana, ila usiku wa Leo mwanangu amenipa nguvu kubwa saana.
Amefuta Kila aina ya huzuni na kufanya nisahau Kila uchungu niliowahi kuwa nao.
Mungu nitunzie mwanangu, nitafanya Kila niwezalo huyu mtoto aishi Kwa furaha.
Hata kama nikiondoka Leo katika dunia hii najua kuwa nimeacha mtoto.
Tafadhali, nakuomba mungu usinicheleweshee na ndugu zake.
Mungu wape subra na uwafanyie wepesi wale wote wanaopitia katika mtihani huu, hakika wewe ndo mjuzi wa Kila kitu. Kwako halicheleweshwi jambo isipokuwa pale utakapo.
Hakika wamesubiri basi wape shufaa nao waone kizazi Chao.
Ameeeen!
Aaaah wajameni mwacheni mwenzenu afurahiBora ukwel unao huzunisha kuliko kujifurahisha kwa uongo. Hii hua ni suala la kitambo kifupi.
Shida hajaeleza tatizo hasa lilikuaje before walitumia njia gani kukabiliana nalo, nani kati yao alikua na changamoto na changamoto hiyo ilikua ipi?
Wakachukua hatua gani mpaka kufikia hitimisho la matokeo ya mimba.
Anaweza akaona sio muhim ila alipaswa kuandika humu maana angesaidia wengi ambao mpaka sasa huenda wana shida kama aliokua nayo yeye