Nimependa wasifu wa Sauli, umeenda moja kwa moja kwenye maisha

Vita ya mali lazima na watatangulizana wengi na biashara zote zitakufa.!
Hapo poa inawezekana wamemuwahi lakini lazima wataibuka watoto wa kijeshi kama.baba yao,mara nyingi watoto kama hao biashara inayowafaa ni majumba ya kupangisha,shida ukiwa nacho hukumbuki aina ya uwekezaji.Lakini lodge zikiwa vimiji kama kasumulu,Tunduma,Namanga ,buza huko,Tandale walahi hulali njaa lodge za DSM hulali njaa
 
Wafrika hatutunzagi kumbukumbu kwa maandishi ndio maana imekuwa fupi hata hivyo wamejitahidi kuandika .
 
Kwa hiyo Familia, ni wazi vita ya mali imemuondoa Baba wa watu.
Polee yake sanaa
Washamzika faster
Huko kwao godima
Ugomvi wa Mali kama jamaa
Hajaweka mambo mambo sawa
Lazima itoke,wake 3 tena

Ova
 
😀😀😀😀😀😀😀
 
Huo ni mpango wa kishamba unaoaminiwa na wajinga tu.

Kwa hiyo mkishaijaza dunia ikajaa, atashusha tena andiko jingine kwamba sasa acheni kuzaa dunia imejaa?
Natural ecosystem ita balance yenyewe kwani kuna kiumbe anaeishi milele!!?

Huoni nuclear family plus family planning inavyosababisha Aging population kwa mataifa ya ulaya !!?Hadi wanalegeza masharti kwa wahamiaji ili ku balance population!!?

Dunia haiwezi jaa ila Kuna uwezekano wa mkubwa wa kizazi kupotea kwa family planning plus nuclear family!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…