ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
𝐸𝑒𝑒𝑒𝑒𝑒Simple tu
Alizaliwa.....1
Akafanya biashara na kuwa tajir......2
Akaoa na kuzalisha......3
Akafa kwa ajari....4
Sio wengine hawa wasomi uchwaraaa misiba yao inamambo mengi mara alisoma veta, akatoka veta akarisit akaenda chuo,huko chuo akachanguliwa kuwa mwenyekit wa chama,akarudi akawa muasibu wa benk,akachaguriwa kuwa msaidizi wa kamanda, marehem amecha nyumba na gwanda pamoja na sare za chama......
AmiinAlikuwa bado kijana sana wakuitajika na taifa na family mungu ampumzishe salama
Wazungu wako wapo wanahangaika kutunga program za kuwavutia wananchi wao wazaliane.Watoto 16 na amezaliwa mwaka 1978
Waafrika tunapenda kuzaana sana
why😆Kama ni zambi , siji kutenda ni kurudi darasani kusoma
Wasifu Mfupi Pesa Nyingi.Wasifu mfupi wenye kueleweka lakini ulioacha Milioni za kutosha kwenye akaunti.
Sio sisi wengine una CV ndefu yenye Vyeti/PE/CPA/PROF/Shahada na PhD za kutosha lakini hata nyumba unakuta unaishi ya Serikali.
Ukifa tu ndiyo Siku hiyo hiyo familia yako inaondolewa ili aje aishi Kiongozi mwingine 🙌
Binadamu anayepigania mali ambazo hakuzalisha hana sifa ya kuwa na hizo mali.Mwanaume akiwa na pesa mwanamke hata ukiolewa mke wa 7 haina shida.!!
Hapo sasa kitimtim km hajaandika mirathi kazi ipo!!
Wataondoka watu wengi kumfata marehemu alikoenda.!
Umasikini umekufanya uwatii watu weupe na kutudharau SISI WATU WEUSI.Watoto 16 na amezaliwa mwaka 1978
Waafrika tunapenda kuzaana sana
hatuwezi wote kua matajiri lazima wengine tutumike kama mifano kwa wengine. unamuona mjomba wake yule usiwe kama yeye yupoyupo tu soma kwa bidii usiwe kama yeyeMpaka Leo sijapata cha kugombaniwa pale nitakapo kufa.....nawaza labda ile suti yangu ya laki moja
Viongozi wakitafakari haya ndio sababu ya kuchukua mpunga mrefu asiiache aibuWasifu mfupi wenye kueleweka lakini ulioacha Milioni za kutosha kwenye akaunti.
Sio sisi wengine una CV ndefu yenye Vyeti/PE/CPA/PROF/Shahada na PhD za kutosha lakini hata nyumba unakuta unaishi ya Serikali.
Ukifa tu ndiyo Siku hiyo hiyo familia yako inaondolewa ili aje aishi Kiongozi mwingine 🙌
Wasifu wa muhaya ukisomwa kama maskini na una roho ndogo unaweza ukatoka pale ukaenda kusababisha msiba kwenu maana mbwembwe zao huwezi kubaki normal.Wahaya sasa..!!!
Na amewatotolesha wengi sana😁Vita ya mali lazima na watatangulizana wengi na biashara zote zitakufa.!
Kabisa MkuuWasifu Mfupi Pesa Nyingi.
Ungetafuta kidume kipagane kiume kwa niaba yako, wewe unakipa points tu.Mitala inatesa sana asikwambie mtu, mimi nilisusa mali za mzee niliona tunakoelekea nitaaga dunia kabla ya wakati.!!
Ukubwa wa Tanzania unakuhusuje kapuku ambaye huna hata hatua mbili za kipande cha ardhi??Nyambafu sana......kuzaana kuna shida gani, Haya ndo yanajiita masomi eti, ndiyo kazaa sana wewe unamzidi nn uliye na mtoto mmoja.....hvi unajua ukubwa wa Tanzania wewe mpaka uone kuzaana si jambo sahihi
Dunia ina watu bilioni 8, hao ni wengi sana,.aging population ni propaganda za watu wanaotafuta cheap labour.Natural ecosystem ita balance yenyewe kwani kuna kiumbe anaeishi milele!!?
Huoni nuclear family plus family planning inavyosababisha Aging population kwa mataifa ya ulaya !!?Hadi wanalegeza masharti kwa wahamiaji ili ku balance population!!?
Dunia haiwezi jaa ila Kuna uwezekano wa mkubwa wa kizazi kupotea kwa family planning plus nuclear family!