Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Hayo maelezo yasome kwa sauti mara saba utagundua kitu
 
Umefanya kosa sana kudhani kuwa maprofesa wana akili. Kanuni ya ujinga inasema kuwa wanapatikana kila sehemu na katika kila kundi kwa usawa.
Kilichonifurahisha ni hiyo kanuni kuitwa kanuni ya "ujinga"
 
Suala la imani ni suala la mtu binafsi.

Yani katika hili, umemnyanyapaa Profesa, kwa sababu yeye anafanya mambo kwa imani yake. Wewe kwanza umemvunjia faragha yake ya imani.

Ukianza kutafuta facts, wengine tutakuambia huyo Mungu hayupo na kama unataka kushangaa kwa facts ni kuona msomi yeyote anaamini katika Mungu. Hata wewe mimi nakushangaa unaamini habari za Biblia wakati Biblia katika facts imejaa contradictions.

Wewe unamshangaa profesa, mimi nakushangaa unavyomshangaa profesa halafu nakushangaa na wewe.

Lakini hata hapo kwenye kwenda kanisani na kusali, si kila anayekwenda kanisani anaamini katika Mungu, wengine wanafuata totoz tu.
 
Unateseka ukiwa wapi? Kama Prof. kamuelewa Bikira Maria na akakubali kuwa mtiifu kwake wewe ni nani hata ujikute unajua kuliko yeye?
Unaelewa nini pale Yesu aliposema "Mama huyo ndiye mwanao, na alipomgeukia yule mwanafunzi wake akamwambia huyo ndiye Mama yako".
Punguza ujuaji na Biblia zenu hizo zilizopunguzwa vitabu kwa manufaa ya waliovipunguza.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ulichoandika hapa ndio agizo kwamba muwe mnamwambia Maria awaombee? Mbona unaandika vitu dhaifu namna hii?

Biblia ilikuwa imeshakamilika tangu enzi za mitume na ikaja kuwa compiled na Jarome 382 AD. Wakatoliki waliongeza hivyo vitabu miaka ya 1500s AD baada ya kushindwa kujibu hoja za Luther.

Isome imani yako badala ya kukurupuka.
 
Kwani huyo Maria ana mamlaka ya kuwalinda wanadamu?, naomba andiko
 
Naomba reference ya andiko au maandiko kutetea hoja yako.
 
Anza kumlaumu Papa kwanza kwakuwa kwenye eneo hilo ndiye miongoni mwa waliochimba Bible kuliko huyo Prof.
 
Kama unajua Kiingereza, KWA NGUVU ZA JAH SHETANI YESU AKUTOKE MARA TU YA KUSOMA YAFUATAYO NA UPONE AKILIA ASAP NA WAGONJWA WA AKILI WENGINE WOTE.-
Slaves, obey your earthly masters with deep respect and fear. Serve them sincerely as you would serve Christ. (Ephesians 6:5 NLT)

1 Peter 2:18

18 Slaves, in reverent fear of God submit yourselves to your masters, not only to those who are good and considerate, but also to those who are harsh.

Ephesians 6:5-8 Paul states, “Slaves, be obedient to your human masters with fear and trembling, in sincerity of heart, as to Christ” which is Paul instructing slaves to obey their master. Similar statements regarding obedient slaves can be found in Colossians 3:22-24, 1 Timothy 6:1-2, and Titus 2:9-10.

Christians who are slaves should give their masters full respect so that the name of God and his teaching will not be shamed. If your master is a Christian, that is no excuse for being disrespectful. You should work all the harder because you are helping another believer by your efforts. Teach these truths, Timothy, and encourage everyone to obey them. (1 Timothy 6:1-2 NLT)
 
Inabidi waikristo mchapwe VIBOKO
ndio mana siku zote manabii wanawafanya kama mosukule yao
Ona hapo alivyofundishwa yaan hapo JUU alichoandika hata yeye mwenyewe SIDHANI kama anaelewa alichoandika
Kwamba maandishi ya mtu mmoja tuchapwe wote? Anyway, karibu kitimoto na bia
 
Unapokwenda kwa Mwamposa, Mwingira au mzee wa upako, kuna pahala kwenye Bible pamesema uende huko?
 
Mleta mada huna Sababu ya kumshangaa professor anachokiamini badala yake jishangae wewe unaamini vipi Kama Kristo Ni Mungu?na unaamini vipi maandishi ya Paul na Yohana yana Ukweli gani ya jinsi ya kuomba ,Je umefanya research?
 
Point
 
Kwa hiyo na wewe ni atheist?
 
Mleta mada huna Sababu ya kumshangaa professor anachokiamini badala yake jishangae wewe unaamini vipi Kama Kristo Ni Mungu?na unaamini vipi maandishi ya Paul na Yohana yana Ukweli gani ya jinsi ya kuomba ,Je umefanya research?
Hata mm ningemshamgaa sana, hata ningemcheka kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…