Ona sasa mlivyo wepesi, kwahio hapo kusema kua anatafuta dili yoyote basi wewe ulivyo ndezi ukaona yupo genuine sio. Nakwambiaje wanageria watakuja bongo kwa wingi na kushirikiana na wabongo wajanja watawapiga pesa mpaka mtatia akili nyie watu. Huyu alivyoanza nakutafuta dili ndio alikua anawapanga kwa huu mtoko wa msiba fake. Wahaya wasivyotupana wakose nauli ya kumpa huyu hadi aje JF, Upole wa wabongo ndio ujinga wao na ma Ccm yanatumia huu ujinga kututawala hadi milele. Za kuambiwa changanya na za kwako.Wewe huna akili kichwani, alipoomba dili humu nani alimsaidia?
Kama wewe huna shida mshukuru Mungu haya maisha hayana kiapo ni kama gwaride tu, ikipigwa nyuma geuka mwenyewe utaimba Yesu ni bwana.
View attachment 3689350
Shida sio kufika msibani huyu mpaka wakati kama ni kweli atabahatika kushiriki tuSasa aliwezaje kuchat wakati akiomba nauli? Au majonzi kapata baada ya kuchangiwa?
Labda awe kapata usafiri wa anga,hawezi kuwa kafika msibani.
Kaondoka asubuhi na basi la saa ngapi?Huyo kijana yupo kwenye basi kuelekea kwao.
Kaondoka na Kaizirege bus services asubuhi ya leo. Mnaweza kumfuatilia huko mnaotaka
Aiseee mbona huyu dogo umemkalia sana kooni? mwache apumue basi!!Kaondoka asubuhi na basi la saa ngapi?
Basi la kwanza leo kaizirege limeondoka saa 11:20
Wewe taarifa yako umeileta saa 11:50
Umeandika upumbavu na ungese, lengo la mtu kutangaza biashara ni ili akufikie kwa haraka bila kujali ulipo.Umeandika Pumba...
Mara kibao tuu tunanunua bidhaa kutoka kwa wauzaji wa humu ndani na pengine kuagiza nje ya nchi kupitia member wa humu humu...
Kwa bichwa lako unataka nikifika dukani nikwambie " mimi ni Nelly Wa JF nimekuja baada ya kuona tangazo!"? PUMBAVU KABISA
Upo sahihi...Umeandika upumbavu na ungese, lengo la mtu kutangaza biashara ni ili akufikie kwa haraka bila kujali ulipo.
Life mate furniture wako dar wanatangaza ITV ili iweje yani mteja atoke Mwanza aje dar kufata kabati?
Lofa wewe huelewi biashara na nina uhakika huna lolote la maana maishani mwako
Dogo miyeyusho sana lazima aambiwe ukweli afanye kazi asipende vya mtelezo.nyie mnaompa misaada ndio mnamlemaza anajua fika akipatwa na shida anajua JF watamchangia.Aiseee mbona huyu dogo umemkalia sana kooni? mwache apumue basi!!
Shangaa eti nauli ya bukoba ashirikishwe mamtu ni mamasikini khaaaKwanza huyo Max unampata saa ngapi? Ilikuwa zamani tunapiga wote gumzo humu sasa hivi majukumu yameongezeka anaongea na mabalozi wewe umletee issue za laki si atakuona akili zimeanza kukuruka?
Yani hakuna ambacho umewahi kununua kupitia humu HAKUNAAAAUpo sahihi...
Hata kwa hili pia upo sahihi...Yani hakuna ambacho umewahi kununua kupitia humu HAKUNAAAA
Watu wanatangaza biashara wanakufanyia delivery hunyanyui hata kisigino
Kadanganye mamtu ya kwenu huko yenye vichwa bapa
Basi sawaa.Hakuna hoja nzuri.. shida sio maoni ya mtu utekelezaji ndio tatizo.! Hii nchi ina madalali wengi
Babanguuuu msamehe bure atajirekebisha mleu,Mboju Halafu kuna ile thread yako uliyomtuhumu mtu kuwa mwizi bila ushahidi, mwisho wake akauawa. Una uhakika gani kwamba ndiye aliyeiba sabufa lako la kichina na TV yako? Umewahi kufikiria maumivu uliyowasababishia waliokuwa wakimtegemea?
Usisahau, matendo yana matokeo. Hizi shida zako unazopitia leo, huenda ndiyo KARMA yako.
Kutoa ni moyo sio utajiri.Pole sana! Matajiri watakuja kukusaidia
Tajiriiiiii min_me tumchangie kijana...Muhimu kashazikwa , maziko ni muhimu kwa binadamu ili kuondoa kero ,haijalishi anazikwa vipi , ila Pole sana kwa kumkosa mama yako mkuu, ndivyo maisha yalivyo.
Hata si siku moja tutakufa tu.
Naogopa sana UMASKINI mzee tupambane na huyu adui namba moja wa watanzaniaBabanguuuu msamehe bure atajirekebisha mleu,
Tujitahidi tuwe na vikundi vinasaidia wazee ingawa vinahitaji hela sio nyingi vingi vina range 10k- mpk 50k kwa mwezi kulingana na uchumi wa watz wengi
Shida kama hii vikundi viwili vikitia support na support ya majirani wa unapoishi na ulipotoka, plus marafiki unasitirika wasee.....
Eniwei tupo hapa old moshi kidia ukweni cc secretarybird
TrueKutoa ni moyo sio utajiri.
Eeh bruh bila hiyo ngumu kumezaNaogopa sana UMASKINI mzee tupambane na huyu adui namba moja wa watanzania
Kwani mkuu umechangia bei gani? mbona unajifanya jasusi kiasi hiki? awe amefiwa kweli au uongo amesafiri au hajasafiri pamoja na yote ameshachangiwa na waliochanga.Kaondoka asubuhi na basi la saa ngapi?
Basi la kwanza leo kaizirege limeondoka saa 11:20
Wewe taarifa yako umeileta saa 11:50
Mfano mi nina changamoto ya kusikia nisha wahi ongea deals na mtu humu ukafika muda wa mawasiliano akataka apige simu tuongee, lilikua deal kubwa tusha hamishana humu tumepelakana kwingine ili dili litiki nikamwambia mi sisiki na tatizo la kusikia vizuri yule dada akajua mi tapeli akani chunia, dahKitu kingine unapaswa kukijua David humu sio wote ni wazima, humu kuna walemavu wa viungo, walemavu wa ngozi, kuna viziwi, mabubu, kuna wagonjwa wa akili, kuna wagonjwa wa stroke, kuna watu waliofilisika, n.k usione tunakutana jukwaan ukadhani sote ni wazima hapana.