Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, mtu hujashikiwa panga utoe chochote mapovu yanakutoka na kuanza kuita watu majina, unaumia hadi mie kujiita Dr!!!! basi nikuite wewe ila sasa ili uwe Dr inahitaji uwe smart sana kichwani na hiyo karama hunaaaaaUkiniona mimi mjuaji ujue we sail in the same boat. Toa hiyo prefix ya Dr.
Acha kupanic, nimeita watu gani majina, au kuhoji ukweli wa jambo ndio kuita watu majina?Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, mtu hujashikiwa panga utoe chochote mapovu yanakutoka na kuanza kuita watu majina, unaumia hadi mie kujiita Dr!!!! basi nikuite wewe ila sasa ili uwe Dr inahitaji uwe smart sana kichwani na hiyo karama hunaaaaa
Anataka shida zake zitatuliwe kutegemea misaada ya watu?Sasa ngoja nikwambie kitu David, kuomba omba na utapeli ni vitu viwili tofauti, huenda bado shida zake hazijatatuliwa maana watu wanampa vijipesa tu hawampi kazi, hebu mpeni mchongo wa kazi halafu tuone kama atakua omba omba
Amani ipo mkuu, wala hakuna shida. Kupishana mawazo mbona kawaida maana hatuwezi kuwa sawa kimtazamo kila wakati.ERoni na Dr. Mariposa mariposa Tuishini kwa amani na upendo.... 🙏 Msikwanzane bhana
😂😂😂 Khaaaah!!Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, mtu hujashikiwa panga utoe chochote mapovu yanakutoka na kuanza kuita watu majina, unaumia hadi mie kujiita Dr!!!! basi nikuite wewe ila sasa ili uwe Dr inahitaji uwe smart sana kichwani na hiyo karama hunaaaaa
Huyu jamaa sijui ase kusaidia mtu na maswala ya great thinker wapi na wapi inamaana ukiwa great thinker ndio asisaidie mtu huyu hajui hata yupo humu kufuata nini anazurura tuHakuna cha great thinker Wala cha mavi. Jamaa anahitaji msaada we unaongelea thinkers!
Mie wala sijapanic ila nakushangaa wewe akili inaniambia kuna kitu kwako hakipo sawa, kwanza sikua na mjadala na wewe umedandia treni kwa mbele, pili kuanza kuniattack personal inadhihirisha kabisa homons zako hazijabalance kuna moja imeshuka na moja imepanda, tatu kunilazimisha nimuhoji mtu ambaye maelezo yake kayaweka yote ni mimi tu kuchagua kusuka au kunyoa ni tatizo la akili, nne kuona kua nimekuzuia wewe kuhoji wakati wala siku kuquote tayari inaonesha una anxietyAcha kupanic, nimeita watu gani majina, au kuhoji ukweli wa jambo ndio kuita watu majina?
Daktari asiyejua kuhoji ni daktari wa wapi huyu, kweli sina weledi wa kuwa Dr, ila huo wako unashusha hadhi ya watu walioenda shule.
Facebook & instagram are you serious broKaka naomba nikwambie kitu kimoja hili jukwaa halina msaada mkubwa kabisa kwenye issue za pesa yani ukipata changamoto ya fedha hapa pakimbie
Nenda X, Facebook au instagram haipiti two hours kwisha
Humu ni makapuku tumejaa walipwa kwa mwezi hatuna lolote lile
Ameingia mitini,aliingia one time kuchungulia,alivyoona pazito kakimbiaKwisha habari jamaa kaingia mitini Mboju ase jamaa umezingua pakubwa sanaa
Kwanza nakusahisha huyo sio jamaa yangu, nilichokurekebisha kumuita tapeli ili hali hajawahi kukutapeli, na kuhusu mwaka alioanza kuomba omba haijalishi, umeshajiuliza wale omba omba wanaosimama mjini asubuhi hadi jioni hawajapata tu pesa ya mtaji wa biashara? majibu yaweza kua hawajapata au wamepata tu pesa ya kula au yaweza kua wamepata ila ni hulka yao kuomba omba, sasa iko hivi ili usijikere nafsi yako wewe jiwekee msimamo kua HUSAIDII mtu basi na waache wengine wasaidie kadri watakavyojaaliwa, usiwazuie watu kwenye kutoa sadaka zao.Anataka shida zake zitatuliwe kutegemea misaada ya watu?
sikia huyo jamaa yako ameanza kupiga mizinga tangu 2022 kipindi chote iko ameshindwa kupambana? Nimemfatilia vizuri sio kwamba namfanyia roho ila nataka ajirekebishe.
Leo kafa mama yake anataka nauli,ina maana kila akipata msiba/matatizo awe anachangiwa kila siku?
Ombaomba wa mjini wale ni walemavu, usimfananishe na huyu ambaye ni mzima na ana nguvu zake. Kusaidiwa si vibaya, lakini mtu anatakiwa kuwa na aibu na kujituma. Haiwezekani kila akipatwa na shida akimbilie kuomba pesa kwa watu, akijua kuna watakaomchangia. Swali ni, ataendelea kutegemea wengine mpaka lini badala ya kutafuta namna ya kujikwamua mwenyewe?Kwanza nakusahisha huyo sio jamaa yangu, nilichokurekebisha kumuita tapeli ili hali hajawahi kukutapeli, na kuhusu mwaka alioanza kuomba omba haijalishi, umeshajiuliza wale omba omba wanaosimama mjini asubuhi hadi jioni hawajapata tu pesa ya mtaji wa biashara? majibu yaweza kua hawajapata au wamepata tu pesa ya kula au yaweza kua wamepata ila ni hulka yao kuomba omba, sasa iko hivi ili usijikere nafsi yako wewe jiwekee msimamo kua HUSAIDII mtu basi na waache wengine wasaidie kadri watakavyojaaliwa, usiwazuie watu kwenye kutoa sadaka zao.
Sawa, hapa sasa tunatakiwa tujikosoe wenyewe narudi kule kule ukiona kuna kitu hakipo sawa hutoi msaada, atachangiwa mpaka lini hiyo itategemea na watoa msaada watasitisha lini ila kama wanaendelea kutoa ataendelea kuomba, wamatumbi wana msemo wao "don't hate the player, hate the game", muache apambane na wafadhili wake kama mimi na wewe hatujachangia kwanini tuumie dhidi ya wengine waliotulia wala haiwashtui kua walitoa maelfu???Ombaomba wa mjini wale ni walemavu, usimfananishe na huyu ambaye ni mzima na ana nguvu zake. Kusaidiwa si vibaya, lakini mtu anatakiwa kuwa na aibu na kujituma. Haiwezekani kila akipatwa na shida akimbilie kuomba pesa kwa watu, akijua kuna watakaomchangia. Swali ni, ataendelea kutegemea wengine mpaka lini badala ya kutafuta namna ya kujikwamua mwenyewe?
Huyu hajafiwa wala nini ameshapata pesa ameingia mitini,kuna muda alichungulia alivyoona pamoto kakimbia ametuacha tunatifuana wenyewe kwa wenyewe ..huu ndio tunaita utapeli
Kesi ishakuwa ngumu hiiOmbaomba wa mjini wale ni walemavu, usimfananishe na huyu ambaye ni mzima na ana nguvu zake. Kusaidiwa si vibaya, lakini mtu anatakiwa kuwa na aibu na kujituma. Haiwezekani kila akipatwa na shida akimbilie kuomba pesa kwa watu, akijua kuna watakaomchangia. Swali ni, ataendelea kutegemea wengine mpaka lini badala ya kutafuta namna ya kujikwamua mwenyewe?
Huyu hajafiwa wala nini ameshapata pesa ameingia mitini,kuna muda alichungulia alivyoona pamoto kakimbia ametuacha tunatifuana wenyewe kwa wenyewe ..huu ndio tunaita utapeli
😂😂😂😂 sikuweziii wallahMie wala sijapanic ila nakushangaa wewe akili inaniambia kuna kitu kwako hakipo sawa, kwanza sikua na mjadala na wewe umedandia treni kwa mbele, pili kuanza kuniattack personal inadhihirisha kabisa homons zako hazijabalance kuna moja imeshuka na moja imepanda, tatu kunilazimisha nimuhoji mtu ambaye maelezo yake kayaweka yote ni mimi tu kuchagua kusuka au kunyoa ni tatizo la akili, nne kuona kua nimekuzuia wewe kuhoji wakati wala siku kuquote tayari inaonesha una anxiety
Ushauri wangu; relax, vuta pumzi ndani na zitoe nje kwa nguvu, angalia kama una dawa yoyote hua unatumia na hujanywa leo kunywa, sali kisha jilaze kitandani vuta na shuka/duvet, simu weka kando.