Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Dunia ya leo? Hata Al Jazeera? Ila wewe umezipata habari? 🤣🤣🤣🤣
Usilolijua kwa sasa Aljazeera hii ya leo siyo ile iliyokuwa ikiripoti enzi za akina Osama. Mabeberu walishainunua na sasa hivi habari zake zinachujwa kama za CNN tu. Lakini Mkuu ulitegemea Israel na Marekani wangekubali kuwa mashambulizi ya Iran yamefanikiwa? Kwa propaganda za kivita lazima wakanushe. Hata Ukraine husema wametungua makombora yote ya Urusi lakini ukweli unajulikana.
 
Ngoja tuone malipizi ya israel hakika iran itakipata na kujutia kuipiga israel taifa lililobarikiwa
Karibariki mdudu gani
Pale ni Palestina
Wale ni wazungu kutoka ulaya waliopewa ardhi kinguvu na wazungu wenzao wa magharibi mwaka 1948
 
vituo viwili vya kijeshi ambavyo runway ya ngeze zimeharibiwa ni vituo ambavyo vinalinwa na technology ya hali ya juu kuliko zote ulimwenguni chini ya Jeshi la US. Kuna rada ya kisasa kudetect missile ikiwa mbali sana.

Leo wataalam wa kijeshi wamejifungia wanatafakari ni mbinu wametumia Iran kupenetrate mabomu yao hadi hapo na kama hiyo imewezekana, wangeweza kufanya chochote zaidi ya hicho. Kwa mujibu wa media house ya US ABC News, ballistic missle zaidi ya 11 zimefanya uharibifu mbaya sana huko. Na uzuri hata kama kuna wanajeshi wamededi huwezi ambiwa. Wangekuwepo raia ndio utaonyeshwa ili ionekane Iran ni wanyama. Iran sio waoga kama waarabu.
 
Ilimchukua Irani wiki 2 kujibu kipigo cha Israel kule Syrian ambako makamanda wa Iran walikufa. Kwahiyo ni mapema sn kujua Israel atashambulia lini kujibu mapigo
 
Tatizo medias zinazokulisha hiyo taarifa ni monopolysed by Jews, unategemea waseme wamechapwa, madhara ya hizo unazoziita baruti (drones),anazijua Benjamin Nentanyahu, waziri wake wa ulinzi na viongozi wao waaandamizi wa karibu
Umeongea vema. Vyombo vyote vikubwa vya habari duniani ikiwemo vinadhibitiwa na Mayahudi na hao ndio wanaoamua kipi kiende kwa hadhira kipi kiachwe. Ukitaka kujua kuwa jamaa wameumia kwenye shambulio la Iran povu jingi limewatoka na vikao haviishi kati ya Mazayuni na mabwana zao wa Magharibi.
 
Ilimchukua Irani wiki 2 kujibu kipigo cha Israel kule Syrian ambako makamanda wa Iran walikufa. Kwahiyo ni mapema sn kujua Israel atashambulia lini kujibu mapigo
Tunataka ajibu hapohapo kama yeye mwanaume kweli, siyo ssubiri ilani ajisahau
 
Makombora yanachukua masaa 9 kufika Israel, hayo masaa 9 Israel imesimama tu? Kweli Iran ni wapuuzi.
Pole Mkuu. Imewauma taifa teule la mchongo kuchapwa kichapo cha mbwa mwizi. Tena hapo wamesaidiwa na mabwana zao kutungua baadhi ya makombora bila hivyo hadithi ingekuwa nyingine.
 
Umeishia darasa la ngapi?maana huo mwandiko siyo mchezo.
 
Usijitoe fahamu Israel inaficha habari zake zote na Aljazeera imepigwa marufuku Israel, sijuwi ata kama unajua kuangalia Tv wewe, madhara yapo sana base ya IDF ndio lilikuwa lengo la Iran kushambulia na Iran ilifanikiwa 100%, Kamanda wa Iran amethibitisha
 
Sema Uislam unaibukia Magharibi.

Hivi hauelewi kuwa Uislam unakuwa kwa haraka magharibi kuliko kwengine kokote duniani?
Kwa mashoga?

Uislamu unakua kwa kasi na ushoga nao unakua kwa kasi huko Magharibi eti?
 
We pimbi rudi shule ukajifunze tena kiswahili
 
Chuki zako za Kidini (mazayuni) unadhani zitakusaidia we bibi kizee. Sio wewe tu ulifuatilia wenye uelewa mpana tunajua what happed and who will the loser at the end of the day...
 
Mange anaongea upumbavu wake na tunauona, nchi zote hizo plus the eastern wing washindwe kutuonesha chochote kilichotokea nani ataamini Bibi?
 
Naona unatuchota akili wavaa kobazi, au sio Broh!?
Tuache tafadhali!!!
 
Vinedhurika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…