Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Mkuu, No need for DNA, inawezekana mimi na wewe ni ndugu kabisa, tofauti ni wewe ulisoma ‘International’ School wakati mimi nilisoma kwa michango ya UPE na misaada ya SIDA😂
 
Huu mchezo hautaki hasira, wananchi wa Iran wameshangilia sana pamoja na wairan weusi kumbe nyuma ya pazia ni brain made war 😂😆!.
 
kwa hujajibiwa huu upuuzi inabidi tuju unaposimamia,kwamba iran walirusha fataki au makombora?
maana uzi wako unaamini nini katika hivyo viwili
 
Fanyeni kazi, Tafuteni pesa
Sio mnakomalia ya İran na kutukana wanaotafuta
 
Tatizo yalitunguluwa angani, kama sio msaada wa nchi kadhaa kusaidia katika kutungua, moto ungewaka Israel. Ila Iran ni wajanja, wameanza na rasharasha, mvua kamili inaandaliwa ambapo hakuna wa kuizuia.
 
Ulitegemea kamanda wa iran angesema shambulizi lao limefeli kweli wafia dini akili hamnaga sijui ni hizi elimu za madrasa mnafundishwa chuki
Wewe si unamuamini kamanda wa kiyahudi, endelea kubaki huko
Muda umefika kuondolewa kwa taifa la mchongo la kizayuni la israel, watarudi kwao walikotoka
 
Acha uongo bi kidude hizo stori na propaganda zimeandaliwa na pro Iran na ndo nyie wajinga mnaleta habar za uongo izo nchi zingne hazikuepo hata israel imefanya vingi kwa iron dome ikisaidiwa na fight jets za nchi kam US UK France na Jordan nchi zingne ni chumvi unaleta ww na wavaa makaobazi wenzako hupenda sana stor za uongo ingia kweny platform zote utakuta aloy of fake news mmeleta
 
Kwa taarifa Yako Iron dome imepata umaarufu mkubwa sana na nchi nyingi za ulaya sasa zinaitaka kuinunua kwa sababu Iran imesaidia kuitest watu tumeona ubara wake kwa ujumla israel ni kinara katika defense systems
 
Hadi Qatar na UAE usifanye sie wajinga tunaelewa zaidi yko mama izo hazna interest na Israel never huko Qatar ndo hamas wanajificha ww ni muongo sana huwa unaleta habr za Arab media hawawez mkubal israel hat siku Moja ww ni fake kam fake zingne
 
Af wengi dunian wanaichukia Israel koz ameuwa wengi wasio na hatia gaza ukilrudi kwenye ukwel Israel wabobezi taja nchi gan ya kiarabu yaweza mfikia kwa tech na wengi hum ushabik uchwara mnaweka dini mbele
 
Aiseee! wamechokoza mzinga wa nyuki, wakae mkao wa kupokea shoo..

Soma hii Mwanzo 49, ujielimishe kuhusu hii kitu inaitwa Israel...nimekuwekea mstari wa 9 utambue nguvu waliyowekewa.

MWANZO 49: 9 Yuda ni mwana-simba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakaye mwamsha?
 
Pole sana.
Ni aibu kubwa sana kwa Khamenei na walinzi wa mapinduzi.
 
Tatizo yalitunguluwa angani, kama sio msaada wa nchi kadhaa kusaidia katika kutungua, moto ungewaka Israel. Ila Iran ni wajanja, wameanza na rasharasha, mvua kamili inaandaliwa ambapo hakuna wa kuizuia.
Iran ni wajanja sana aisee!
 
Irani imenivunja moyo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…