Hamna kitu, jiwe alikuwa mbinafsi na katili sana, angelitumbukiza taifa jalalani. Mungu aliyaona haya akapita nae. Mungu fundi nyie! Alitake advantage ya watanzania mambumbumbu kuwaambia kuwa 'nafanya haya kwa ajili ya watz maskini' basi wagogo na wasukuma woote wakajaa, mtu anabeba mabilioni anapeleka kijijini kwake kila mwezi kugawa??? Ivi kule tunduru ambako alikuwa haendi na wenyewe wangepataje pesa za umma? Mtwara walipelekewa jeshi kuwafilisi korosho eti taifa linanunua korosho za wakulima, akili au matope?? Eti unalazimisha chato kuwe na mbuga za wanyama kwa kusomba twiga nk na malori, umeambiwa ni ng'ombe zile?? Yaani ngosha ngosha tu, unabadilisha Kijiji chako kuwa mkoa Kisha makao makuu ya mkoa??? Yule mzungu aliyeshikilia ndege kule uholanzi tutamlipa ela yake possibly inalingana hata na bei ya hiyo ndege! Miradi kibao imejengwa na kampuni zake au za ndg zake Tena bila kufuata procedure wazi wazi. Ivi JK angejenga uwanja wa ndege Bagamoyo na kampuni ya ujenzi ikawa ya Riz pangekalika? Yule mwamba angekula hai sasa ivi kungekuwa na mradi wa ujenzi wa bandari ya chato na meli ya mv chato! Yaani unapeleka jeshi kwenda kufungia bureau de change kwenye mji wa kitalii Ili watalii waende BOT kubadilisha fedha kwa foleni, what a stupidity!!! Plea bargain, Sabaya, na mambo meengiii, nitakuwa wa mwisho kumsifu jiwe! Na ndiyo maana alikuwa mkali, ukiona mtu mkali sana weka ?????? Ana madudu mengi hataki kuulizwa, Raisi unawaamulia watz majimbo yote wamchague nani awe mbunge? Atakuwaje neutral kuihoji Serikali?? Yaani watu wamekubaliana kule handeni kuwa mgombea wao ni huyu, wewe ambaye kwenu ni chato unawakatalia unawaletea chawa wako kama mwijaku awe mgombea wao????