Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

Nyongeza anzisha huduma ya delivery ya vitu mbalimbali nenda kwenye maduka mbalimbali wewe waambie unatoa huduma ya kudeliver mzigo bei utakadiria mwenyewe.
Sema hii inafaa sana kwa watu wenye pikipiki.
 
Kuna mama anapika mihogo,chapati ,supu ,maandazi na chai sasa hivi kaongeza na maharage ikifika saa 4 kashamaliza nyumbani ila anajua sana kupika na anapikia kwenye kibaraza cha mtu .Kwa kuiangalia biashara yake haizidi laki 3.Nilimshauri ndugu yangu ajaribu akanijibu yeye hawezi kazi za moto.Kama una nafasi unaweza kujaribu.
 
Ukute na Urgue na kitoto shoga hapa, natoka
Ulishawahi kufirwa hata mara moja kwenye maisha yako?

Unachofanya ni psychological projection.

Mtu anayependa kuongelea au kuita watu mashoga wakati hata kuwaona hajawai kuna asilimia kubwa yeye ndo akawa shoga.

Nakuuliza tena ulishawai kufirwa walau mara moja kwenye maisha yako?
 

Good idea,
 
Hongera kwa kuwaza mbali
Naona chakula kinalipa kama upo dar tafuta eneo zuri ila sio frame maana utapunguza mtaji.
1. Sasa hivi ni msimu wa mihogo kaanga mihogo weka na visamaki na vikuku broiler unaweza weka na deli ukauza soda baridi

2. Pika chapati na maharage au utumbo either asubuhi na jioni au jioni tu

3. Pika chakula cha mchana sambaza kwenye vijiwe au ofisi

4. Uji point, saga Unga wa lishe vizuri weka hiliki unukie uwe unapika asubuhi na jioni unasambaza kwenye vijiwe au ofisini. Unaweza tengeneza na uji wa mchele kama hujui kajifunze YouTube. Uwe na maziwa kwa atakayehitaji

5. Mtindi point: hii unaweza Pata ubungo pale Kuna kituo cha maziwa asubuhi sana unaenda kujumua unauza reja reja kwa glass unauzia nyumbani au unatembeza kwa vijiwe au ofisini...hii inaweza kwenda sambamba na no 4 hapo juu au ukatafuta frame ukawa unauza maziwa tu yaani fresh na mtindi

NB biashara ya chakula inahitaji usafi wa hali ya juu, plus uchangamfu ila pia biashara Ina tuvituvitu... uwe mtu wa sala kila wakati utatoboa
 
Zaman nilikua nilikua nilikua nikiingia jf nakuta watu wanajibu kistaarabu sana ila sa hv ovyo sana jaman mtu anapofika hatua ya kuandika hapa ujue anahitaji msaada kama huwez msaidia jitahid angalau basi usimpe maumivu
Watoto wa 2000 wameshavamia na comment zao na wengine wameunga njia yani mtu kajieleza vizur watu wanakuja na kejeli zisizo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…