mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Unawazaga mbali sana😅Kuolewa si biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawazaga mbali sana😅Kuolewa si biashara.
Nyongeza anzisha huduma ya delivery ya vitu mbalimbali nenda kwenye maduka mbalimbali wewe waambie unatoa huduma ya kudeliver mzigo bei utakadiria mwenyewe.Kwa hali hiyo inabidi ujiweke kwenye survival mode kwanza kwa six months ukiwa unafanya hizo biashara ndogo ndogo.
Anza na hivi kutegemea na circle yako.
1. Nunua vile vicontainer vidogo vidogo vya plastic ingia sokoni nunua kisamvu, mchicha na mboga zingine za majani ziandae vizuri zipaki vizuri kisha pita maofisini ukiuza huko utapata wateja na utapata connection za kazi na biashara zingine. Watu wengi walioko maofisini ni lazy kujitafutia mahitaji yao lakini pia wana matumizi ya hovyo ya hela hivyo unapata wateja na utajua vitu vipi wanavihitaji zaidi.
2. Kama unajua kupika keki anza kupika keki jiji la Dar ni jiji la Starehe visherehe vidogo vidogo haviishi so unaweza kupata wateja.
3. Uza heleni na vifuniko vya asali japo kuna wenzako wengi sana wanafanya hiyo biashara.
Hilo ndio tatizo la watu wa humu,unauliza hiki wao waneleta ya kwao,hapo Bado watakuja wanaoitana bby,yaan n shidaaaMshaurini mwenzenu acheni mambo ya kiwaki kudadeki zenu.
Anafungua anakuta comment kibao zote ni upuuzi tu.
Ulishawai kuugua uchizi?
😳Kuolewa unataka au utaki?
Ulishawahi kufirwa hata mara moja kwenye maisha yako?Ukute na Urgue na kitoto shoga hapa, natoka
Kuolewa unataka au utaki?
[emoji15][emoji15]nitafute inbox
Kwanza Hongera kwakuchukua Hatua kwaajili ya kesho yako",
Pili Hakuna mtaji mdogo,Ila ulicholenga kufungua ndo kinaweza kikubwa kuliko mtaji ulionao",
Cha kwanza kubariana na hali halisi,usilenge vitu vikubwa kwasasa anza kidogo kidogo.
pili na nakushauri usiwaze frame tafuta saiti ya kukodi maeneo yaliochangamka mkubaliane na mwenye eneo kias cha kumlipa kama ni 10000 au 15000 kwa mwezi kisha tengeneza banda lako la mbao na mabati",
Nenda mjini nunua mitumba kwa bei ya jumla mitumba 70000 si haba kuanzia,Nunua yebo na ndala hazina bei sana ni kuanzia 2000 mpk 7000 kwa bei ya jumla kutokana na zilivyo,pia nunua vitu vya urembo kama heleni,cheni,saa havina bei sana afu nenda kafungue banda lako",
Naamin hutokosa chochote kwasiku kila lakheri kwako".
Hiyo nayo ni biashara au ajira ?Kuolewa unataka au utaki?
Na wewe unataka kuolewa?Hiki ki mtu ukute hata shule kilikua na shida,First comment kwa Uzi wa mtu out of point.Kazi mnayo vijana ningekua mod ungekula ban Mwaka mzima chizi wewe
[emoji16][emoji16][emoji16]Unawazaga mbali sana[emoji28]
Umesimamia kwenye faida zipo nyingi,mbona hauzitaji.Sio pesa tu.
Faida zipo nyingi linapokuja suala la ndoa kwa mwanamke.
Ukitulizaga akili unakuwa mtu na nusu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sometimes[emoji23],Ukitulizaga akili unakuwa mtu na nusu
Watoto wa 2000 wameshavamia na comment zao na wengine wameunga njia yani mtu kajieleza vizur watu wanakuja na kejeli zisizo na maana.Zaman nilikua nilikua nilikua nikiingia jf nakuta watu wanajibu kistaarabu sana ila sa hv ovyo sana jaman mtu anapofika hatua ya kuandika hapa ujue anahitaji msaada kama huwez msaidia jitahid angalau basi usimpe maumivu