Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

POle mkuu
 
Wewe utakuwa ulikuwa unachati na mwanaume akajifanya ni mwanamke Mzee achana na mambo ya mitandao utakuja kuibiwa
 
Mkuu naona unanifungua akili, kwa sababu nikipiga simu hapokei
Anapokea kama akiwa na huyo demu aliyempanga, zaidi atakuwa anataka mchati, Kuna Mmoja mwaka 2017 alijifanya kulike picha zangu FB na Kila anchopost baadaye akanizoea tukawa tunachati na kunitumia picha Kwa vile nilikuwa mkoani akasema Yuko Dar akanipa namba Sasa akawa anataka aje kuniona nikamzuga baada ya muda nikajua Dar nikamtafuta nikamwambia kesho nakuja Dar nikusalimie akagoma akawa anataka yeye ndiyo aje Mkoa,nikamgomea kesho yake Tena nikamwambia nipo Dar tutafutane akapotea kabisa na kufunga account
 
Huyo ni mwanaume mwenzako kakutandika, poleee
Hio michezo watu wanaicheza sana kuweka picha za warembo profile ukijiingiza unaliwa 🤣🤣🤣
 
Huyo ni mwanaume mwenzako kakutandika, poleee
Hio michezo watu wanaicheza sana kuweka picha za warembo profile ukijiingiza unaliwa 🤣🤣🤣
Inawezekana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…