Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #181
Sikuliwaza hilo mkuuKwa nn usingemtumia ticket ya gari mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuliwaza hilo mkuuKwa nn usingemtumia ticket ya gari mkuu.
Mkuu mimi week iliyoisha pia ilitokea hvyo hvyo ila mm wa kwangu tunajuana sio wa mitandaoni baada ya kumtumia nauli siku tuliyokubaliana aje asubuh nampigia simu anasema kaamka vibayaSikuliwaza hilo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Ameogopa picha zake kazichapa filter ila uhalisia yupo kama mfalme Zumaridi. Usije mkimbia bure.
😅😅😅 cha kuniita?
Huyo fungiaa mpaka madirisha asipate kwa kupitaMkuu mimi week iliyoisha pia ilitokea hvyo hvyo ila mm wa kwangu tunajuana sio wa mitandaoni baada ya kumtumia nauli siku tuliyokubaliana aje asubuh nampigia simu anasema kaamka vibaya
tumbo na kichwa vinamsumbua nikajua hapa nishapigwa tukio na mm nimeamua kumpotezea mazima hyo afanye mtaji asijichanganye akarudi na shida zake tena maana ana mizinga balaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hela ndio imeenda bureHuyo fungiaa mpaka madirisha asipate kwa kupita
Mapenzi yamekua mateso kwa sasa[emoji3064][emoji3064][emoji1787]Mnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura.
Nilitokea kumpenda sana huyo binti, na tukafahamiana vizuri tu. Yeye yuko kwenye mambo ya mitindo.
Tatizo yeye anaishi mkoa tofauti na niliopo mimi; nikawa nimemjulisha wikiendi ijayo tuweze kuonana, na tukawa tumeafikiana. Sasa leo asubuhi, akawa amenijulisha anataka aje kuniona; mi nikaona sawa tu hakuna shida.
Akaomba nauli, nami nikamtumia mara mbili yake. Kilichonishtua zaidi, kuwa nauli imeliwa, alianza kuniambia nitume na hela ya mafuta fulani kwa ajili ya massage, yanagharimu 50,000; nikatafakari, nikamwambia tutayanunua huku huku ukishafika.
Baada ya hapo, nikipiga simu haipokelewi, meseji hazijibiwi, w/app hajibu. Imebidi ni hitimishe tu; nauli yangu imeliwa. Ingawa angekuja ningetumia zaidi pamoja na posho ya kwake, lakini kilichoniuma zaidi ni kutokuwa muaminifu.
Wakuu, nimfanyeje huyu mkulungwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameogopa picha zake kazichapa filter ila uhalisia yupo kama mfalme Zumaridi. Usije mkimbia bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa kaliwa tayar, lolInasikitisha sana. polee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebwana filter zinaharibu kinyama juzi kuna jamaa yangu kaniomba nimaindikize akakutane na demu waliojuama mtandaonii akanionyeshaa tukaenda tulichokutana nacho sikuaminii mwamba aliishiwa pozii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]unashida gani lknView attachment 2141097
nishashika hapa sema mkuu mwenyewe number busy, sijui keshanizoom[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23].
Wanakaaga mahali wanakuzoom kwanza, kisha wanazima simu wanaondoka. Tena usiombe kama alikuja na mshikaji wake amtambulishe kwa shemeji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena huyo dada bora asije tu.
Uliona thread ya yule mtu alifungua mada ya hivi kisha yule mwanamke akafika?
Yaani alimpiga picha kila tukio akatuwekea[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mtindo wengi wanaliwa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]wakati mnagaiana hela ulituomba tukuombee [emoji1][emoji1]
endelea kutesekea pande hizo baada ya kumtumia nauli mwanaume mwenzio[emoji1][emoji1][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kifo cha liparata.Na akimpata ni kuchuma mboga tu mwanzo mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tununulie soda na sisi tunaokufariji jamani.