Ukitaka kujua kuwa ni propaganda, mbona hawahangaiki kustabilize Libya ambapo binadamu wanapigwa mnada baada ya wao wenyewe kumwondoa Gadaff ila wanasema raia wa Iran wana maisha magumu chini ya utawala uliopo. Hivi kweli Wairani wana maisha amgumu kuliko hali iliyopo Libya?Huenda ni Kweli.
Mimi nikisikia Iran najua kabisa ni Taifa la Kishetani kumbe sivyo! Hasa ukizingatia ni Taifa la Kiislam.
Labda ambalo hatujui ni Ubaguzi wa Dini.
Niseme tu ni propaganda za nchi za Magharibi zinazoichafua Iran na kutaka kuchafua ustaarabu wake!
Nchi za Magharibi hazipendi kusikia Taifa lo lote duniani linainuka duniani zaidi yao Kijeshi,Kiuchumi,Kiutamaduni,nk
Lazima Taifa hilo wataliangusha!
Kama ukiwa na milion 1 za Kitanzania naishi Iran mwaka mmoja bila kufanya kazi๐๐Wairan wanajitambua ila mnadanganywa na wazungu .. Wenzenu wanatengeneza maisha rahisi kwa kila raia nyie kazi kujaza vyeti ,badala mchague maisha rahisi eti demokrasia.
Ndio, Turkey wapo vizuri sana..Hawa jamaa wapo smart sana pia halafu kimwonekano wanafanana sana na iran sana.
Mkuu mbona sina mahaba yoyote nawe au mahaba gani nimezidisha kwako chief?Hakuna lolote ujualo mahaba tu yamekuzidi
Gaddafi aliondolewa na raia wake mwenyewe wakati wa Arab spring.Ukitaka kujua kuwa ni propaganda, mbona hawahangaiki kustabilize Libya ambapo binadamu wanapigwa mnada baada ya wao wenyewe kumwondoa Gadaff ila wanasema raia wa Iran wana maisha magumu chini ya utawala uliopo. Hivi kweli Wairani wana maisha amgumu kuliko hali iliyopo Libya?
Nenda ukaishi Iran. Ukiwa na milion 1 za kitanzania Iran mwaka mmoja๐๐๐Huenda ni Kweli.
Mimi nikisikia Iran najua kabisa ni Taifa la Kishetani kumbe sivyo! Hasa ukizingatia ni Taifa la Kiislam.
Labda ambalo hatujui ni Ubaguzi wa Dini.
Niseme tu ni propaganda za nchi za Magharibi zinazoichafua Iran na kutaka kuchafua ustaarabu wake!
Nchi za Magharibi hazipendi kusikia Taifa lo lote duniani linainuka zaidi yao Kijeshi,Kiuchumi,Kiutamaduni,nk
Lazima Taifa hilo wataliangusha tu!
Mahaba kwangu tena,nikuulize wewe kama ni She or He?Mimi ni Indoda.Mkuu mbona sina mahaba yoyote nawe au mahaba gani nimezidisha kwako chief?
Au nakosea ninavokuita chief?
Wewe ni Me au Ke natanguliza samahani.
Inashangaza sana!Kama ukiwa na milion 1 za Kitanzania naishi Iran mwaka mmoja bila kufanya kazi๐๐
Kwa maana hiyo ukiishi Iran ukafanya kazi ili uje Tanganyika uwekeze itakubidi ufanye kazi miaka 150 ili upate hela ya kutoboa bongo๐๐๐๐
Maisha ya Tanzania yana unafuu sana kuliko ya Iran
Ambapo west walifunga anga lake ili asiweze kuwatuliza hata mamluki waliongia kutoka nje. Hata taarifa zao wenyewe zinaonyesha waliwaunga mkono na kuleta mamluki. Hizi taarifa zao wenyewe Ufaransa na Marekani kuwa walisaidia kumwondoa na uzuri ziko kwenye public domain.Gaddafi aliondolewa na raia wake mwenyewe wakati wa Arab spring.
UmyeniMahaba kwangu tena,nikuulize wewe kama ni She or He?Mimi ni Indoda.
Nenda ukaishi Iran ndani ya mwezi mmoja utakuwa umepata hela ya kutoboa Tanzania๐๐๐๐Point yangu mimi kama mimi ni kuwa maisha ya Iran si magumu kama tunavyoaminishwa na yana afadhali kuliko nchi nyingi za Afrika zisizo na vikwazo. Over
Niambie mkuu! Sijawahiona simu zao.Nenda ukaishi Iran. Ukiwa na milion 1 za kitanzania Iran mwaka mmoja๐๐๐
Uje upate hela ya kununua kiwanja bongo na kujenga๐๐๐
Iran anatengeneza simu? Simu zao zinatumia operating system gani?
Walichosema kuwa masha ya Iran ni rahisi, sio verse versa sijui kama unaelewa?Nenda ukaishi Iran ndani ya mwezi mmoja utakuwa umepata hela ya kutoboa Tanzania๐๐๐๐
Ukitoka Iran utakuwa utakuwa tajiri bongo๐๐๐๐
Kama watu wanaweza kutengeneza mabomu na kuyarusha kutoka kwao mpaka Israel wanashindwaje kutengeneza simu?Niambie mkuu! Sijawahiona simu zao.
Hakuna mamluki walitoka nchi nyingine kumuondoa Gadaffi, aliondolewa na waasi wa nchini kwake tu. UN ndio ilitoa amri ya kufungwa anga la Libya baada ya Gadaffi kuwa anaua waandamanaji kwa wingi tena kiholela huku akiwaita mende na kusema atawamaliza waandamanaji wote. Gaddafi aliwapa ruhusu wafuasi wake katika hotuba hadharani washambulie waandamanaji waliokuwa wanataka mabadiliko tu.Ambapo west walifunga anga lake ili asiweze kuwatuliza hata mamluki waliongia kutoka nje. Hata taarifa zao wenyewe zinaonyesha waliwaunga mkono na kuleta mamluki. Hizi taarifa zao wenyewe Ufaransa na Marekani kuwa walisaidia kumwondoa na uzuri ziko kwenye public domain.
Unajua walisema nusu lita ya maji inazidi bei ya lita moja ya mafuta Iran.Walichosema kuwa masha ya Iran ni rahisi, sio verse versa sijui kama unaelewa?
Okay tu assume unanchosema ni kweli, kwanini hawajaweka mkazo kuondoa hali mbaya iliyopo pale? Unataka kusema raia wa Iran wana hali mbaya kuliko Libya?Hakuna mamluki walitoka nchi nyingine kumuondoa Gadaffi, aliondolewa na waasi wa nchini kwake tu. UN ndio ilitoa amri ya kufungwa anga la Libya baada ya Gadaffi kuwa anaua waandamanaji kwa wingi tena kiholela huku akiwaita mende na kusema atawamaliza waandamanaji wote.
Iran hakuna maisha labda kama utaenda kama touristInashangaza sana!
Sasa hili lina uhusiano gani wa kwenda huko ukapata pesa nyingi ukarudi Tanzania kuwa tajiri?Unajua walisema nusu lita ya maji inazidi bei ya lita moja ya mafuta Iran.