Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

maisha yana unafuu gani kama unaenda kuishi sehemu hakuna baa wala kitimoto wala wauza utamu??
 
Tatizo huko Iran hakuna maisha ya kula bata zaidi ya kusubiria bikra 72... Mimi Tz sihami maana nakula msoto na bata kama kawa
Wanakula Bata kuliko wewe hapa Tanzania, Wasanii wao wanajulikana kote Duniani,

Unaona wahindi hapo mjini wanavyoishi, lifestyle yao ndio exactly Iran ilivyo sababu na wao ni Twelver Shia.

Ingia tu hapo YouTube search unachotaka kama ni live Concert, foodie, shopping etc vyote utaona.
 
Wao wameongelea experience yao. Ubaya wa kupima uchumi kwa GDP wakati mwingine unakuta uchumi umeishikiliwa na asilimia tatu tu ya wananchi ambao wana pesa nyingi sana wengine choka mbaya kabisa.
Mfano india ina GDP kubwa zaidi ya ufaransa, zaidi ya Uingereza na sasa zaidi ya japan, lakini haimaanishi maisha ya raia wa india ni mazuri au ya afadhali kuliko raia wa nchi hizo.
 
Ugomvi wa Israel/US dhidi ya Iran ni katika suala la umiliki wa silaha za nuclear, sio kuhusu raia wao au jinsi Ma-Ayatollah wanavyotawala raia wao.
Hakuna cha nuclear, ukishakua na utajiri wa mafuta na gas, hakuna nchi utaipigia magoti, wewe ndiye utapigiwa magoti, mfumo wa magharibi unaoiendesha dunia hiki kitu hawakitaki...

Usiporuhusu mabeberu wanufaike na mafuta ama gas yako watakutafutia sababu yeyote ile wakumalize...

Iran sio vichaa waamke asubuhi waishambulie Israel kwa nuclear, Israel na Palestine ni ardhi moja, huko Gaza hadi West Bank ni nchi moja.. Palestine hata pesa wanayotumia ni ya Israel Shekel...

Ukiishambulia Israel kwa nuclear ujue umewashambulia na Palestine...
Ndio maana Iran imeshindwa kushambulia vinu vya Israel kwa kuhofia madhara ya uranium kufika West Bank na Gaza, ukichukulia kwamba Israel ilivyo ndogo ukisimama milima ya Golan ukapiga mluzi nchi nzima inakusikia(namaanisha nchi ni ndogo)..., which means hata kama wana nuclear hawatoweza kuishambulia Israel...

Kwa Sadam waliingia na hizo sababu, Libya pia walidhani kukubali kuachana na masuala ya nuclear wangepona, ndio maana Ayatollah anasema hawatoacha kukutafutia sababu mpaka waingie wakupige na kuiharibu nchi ibaki kama Libya ama Syria.. wakimaliza nuclear mkaelewana kesho watasema missiles ni threat kwenye region, ukiondoa missiles watasema regime change inatakiwa, ukiondoa regime watasema ukandamizaji wa haki za binadamu...

Ili mradi tu wapate sababu wakuvamie, waivuruge nchi.
 
Kuna bia, au hadi usafiri kuzifuata?
 
Maisha Iran ni kweli ni cheap nimewah kukaa pale miez mitatu ila kama unavyojua cheap ni umasikin. Kwa mfano kwa hapa kwetu maisha ya kijijin ni rahc sana lakin hakuna hela . So angalau Tehran kuna mzunguko kidogo ukienda mikoan huko ni balaa.
 
Alieleta huu uzi nafikiri haijui Iran, Hio nchi imeendelea kitambo sana sio leo wala jana maana huu utawala wa ayatollah umekuja 1979 baada ya mapinduzi ya kiislam yalioletwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu na kuuangusha utawala uliokuwepo wa Shah wa Iran na kumuweka madarakani Ayatollah Ruhollah Khomein ambae alikua akiishi Paris Ufaransa wakati huo. Kwa kifupi kiuchumi na maendeleo hakuna nchi barani Africa inayoweza kuifikia pamoja na vikwazo vya sasa. Ikumbukwe wakati wa utawala wa Shah wa Iran , nchi ya Iran ndio ilikua kipenzi cha nchi za ulaya na Marekani na ndio ilikua inalinda maslahi yao huko Asia na mashariki ya kati.
 
Sisi huku kuna kahaba anazidi kuongeza gharama za maisha kwa,watanganyika huku wazenji wakishushiwa gharama..hivi bwawa la Nyerere lipo zenji au tanganyika


View: https://youtu.be/Bna6Xav8vgQ?si=u_eC8fVXkQsPky-q
 

Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
Hata .kenya akija TZ, maisha yake yanakuwa rahisi.

Kwasababu Elfu 10 ya Kenya kwa Tanzania ni Tsh 200,000.

====

Shida unapata pesa sehemu nyingime unaenda nayo sehemu nyingine.

Waulize mapato yao yakoje kama mishahara, na biashara lazima iko chini.

Ndio maana mimi napinga Uraia pacha.
 
unajua unaweza kuwa wapata kipayo kidogo kinakidhi maisha yako kutokana na vitu kuwa cheap na ukawa unapata pesa nyingi haikidhi mahitaji.
Mfano unakuta rent labda kwa mwezi milioni.
 
unajua unaweza kuwa wapata kipayo kidogo kinakidhi maisha yako kutokana na vitu kuwa cheap na ukawa unapata pesa nyingi haikidhi mahitaji.
Mfano unakuta rent labda kwa mwezi milioni.
Rudia tena kuangalia hiyo thamani ya hizo pesa.

Sarafu ya TZ, ina thamani kubwa kuliko ya Iran.

Hiyo milioni 1 ya TZ, kwa Iran ni Milioni 16.
 
Rudia tena kuangalia hiyo thamani ya hizo pesa.

Sarafu ya TZ, ina thamani lubwa kuliko ya Iran.

Hiyo milioni 1 ya TZ, kwa Iran ni Milioni 16.
Nimekusoma yah kweli hata wao walisema hivyo kuwa fedha ya tz ina thamani sana kuliko ya Iran... Ila bado kuna swali, mfano mkenya akija tz akachange fedha atapata pesa nyingi lakini ndivyo atakavyozitumua maana kitu kitu ambacho angenunua 250 KES tz atakinunua labda 5000
 
Rudia tena kuangalia hiyo thamani ya hizo pesa.

Sarafu ya TZ, ina thamani lubwa kuliko ya Iran.

Hiyo milioni 1 ya TZ, kwa Iran ni Milioni 16.
Kumbe!
 
Bei za vitu ni kodi + gharama za uzalishaji + usafirishaji.

Lita 1 ya mafuta, karibu nusu ya bei kwa Tanzania ni makodi na matozo mbalimbali
 
Uchumi wa nchi unaendana na vipato pamoja na thamani ya shillingi.

Mfano, sasa hivi kuna Wamarekani wanaohamia TZ hasa wastaafu, unakuta mstaafu anapata pesa kwao labda $100,000 ambayo akiishi Ulaya au Marekani maisha yake yanakuwa magumunsana haitoshi.

Ila akija TZ, anaishi kitajiri maana hiyo ni Tsh Tsh Bilioni 2.

Na wastaafu wetu kwa vipato vyetu bado wanapata Milioni 100 hawafikishi.

Maana yake, mstaafu akitoka TZ na milioni 100 yake akahamia Iran, atakuwa na 1,600,000,000 bilioni.
 
Sahihi, hata Wakenya wakija Tanzania huwa wanaona maisha rahisi sana kila kitu bei ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…