Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaNiko dar
Tuisheni inafanyikia wapi chiefHaya
Asante kwa maoni yako rafiki yangu Nimeshapata kazi tayari. May God bless youKitu kizito, bongo ujanja mwingi. Uza hiyo simu upate mtaji wa kuuza maxhungwa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Asante sana Teacher. Nimepata kazi tayari wangu. MUNGU AKUBARIKI. Hii fursa naachia wengine waipate. Jamani Tabora kazi hiyo wapendwa tuchangamkie fursaNatafuta vijana wawili (me/me, me/ke, ke/ke)
Vigezo
1.Nguvu
2. Uaminifu
3. Kuzingatia muda
Majukumu
Kufagia barabara, kusafisha mitaro,
300m kwa siku
Malipo
4.5k kila siku
Location tabora
God bless youAsante kwa maoni yako rafiki yangu Nimeshapata kazi tayari. May God bless you
AmenGod bless you
Amen asantePole sana....! Nakuombea milango ya neema ikufungukie
Asante wangu. Mungu akubariki na kazi niliyokuwa naitafuta kuna mtu huku amejitokeza kunikonekti mahali na nimeshapata kazi asanteni sana kwa kujali wapendwa japo hiki kisa ni cha kweli. Me namwogopa Mungu siwezi kuja hapa kwenye hadhara nitunge uongo au nimsingizie mtu uongo maana hakuna faida yoyote ya kufanya hivyo. Lengo ilikuwa kupata kazi na nimeshapata shukran sanaPole sana
Tunajua nyie ni viumbe dhaifu ila hukustahili yote haya
Alikudanganya na kukupa mimba huku akijua tendo hilo mwisho wake ni mimba
Huwa nawashangaa wanaume wa hivyo ambao wanajua fika ila wanajitoa ufahamu
Mungu kakupa mtoto mlee tu
Yeye atakimbia majukumu mangapi?
Kweli mwanaume unakimbia kulea mtoto
Je akiona wanaojitolea kulea yatima na kuwalipia kila mwezi maisha yao wanasemaje
Mwambie namsalimia ila ajue hii ni Dunia huyo mtoto atakuja kuwa na maisha yake pia na huenda Mungu akamjaalia akaja kukusaidia ukiwa na hali mbaya
Natamani kukusaidia ila mitandao hii kuna wakati huwa ni story za kuokota na kuzileta
Nisamehe kama ni genuine situation
Basi piga moyo konde na utavuka
Unaendeleaje? Unajifungua lini kama hutajali?Amen asante
Jambo la kushukuru kama umepata kaziAsante wangu. Mungu akubariki na kazi niliyokuwa naitafuta kuna mtu huku amejitokeza kunikonekti mahali na nimeshapata kazi asanteni sana kwa kujali wapendwa japo hiki kisa ni cha kweli. Me namwogopa Mungu siwezi kuja hapa kwenye hadhara nitunge uongo au nimsingizie mtu uongo maana hakuna faida yoyote ya kufanya hivyo.
Naendelea salama wangu. Mwenyezi Mungu ni mwema. Naomba uje/nije PM tuchati maana mambo mengine ni private siwezi kuyaweka hapa. Ila kama nilivyoeleza katika thread nina ujauzito wa miezi saba kwa sasaUnaendeleaje? Unajifungua lini kama hutajali?
Shukran asante sana wangu.Jambo la kushukuru kama umepata kazi
Maana riziki anatoa Mungu ikipitia kwa watu tu
Sikuwa na maana kuwa unadanganya la hasha, bali nimesema kuna wengine huwa wanaleta story za kutoka Fb au mitandao mingine na kujifanya wao
Sina Shaka na ukweli wako kwa sasa na Mungu akukuzie mwanao aje kukusaidia pia baadae
Peace and love
Nimeona dar, wanatembeza mihogo na karanga mbichi kwa beseni.Best achana na hawa vinyamkera wana stress za maisha, don't give up be strong mama jikaze utafanikiwa mm nachokushauri jitahid upate hata elfu 10 nunua beseni tembeza mihogo mibichi na machungwa kwenye sehemu za ujenzi au bodaboda utauza au nunua trey ya mayai chemsha anza kuzungusha kikubwa kuwa msafi na smart na usikae kwa huruma au huzuni just smile and be happy with anyone utafanikiwa dear.
Ngoja nikupe mfano Kuna dada mmoja alipitia magumu alipata mimba lakin baba hamjui wanaume waliokua nae wakamkimbia alipambana akanunua kigodoro cha shule akawa analala site alilea mimba alipojifungua yule mtoto ni kama baraka maisha yamemnyokea sasa hivi yupo kwake na amepata mme mzuri. Kikubwa muombe Mungu
Asante wangu . Nimeshapata kazi. Shukran kwa ushauri. God blessForm six utafanya Kazi gani
Huna vyeti
Hujasoma
Rudi kwenu kajifungue salama.
Lea mtoto wako
Next time uwe Makini
Mtandaoni tupo mpk sisi Smart Gangs
Ukiruka tu ukitua chini umeliwa.
Dar Raha😂Nimeona dar, wanatembeza mihogo na karanga mbichi kwa meseni.
Hongera sana Mkuu.Asante wangu . Nimeshapata kazi. Shukran kwa ushauri. God bless