Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Natafuta vijana wawili (me/me, me/ke, ke/ke)

Vigezo
1.Nguvu
2. Uaminifu
3. Kuzingatia muda

Majukumu
Kufagia barabara, kusafisha mitaro,
300m kwa siku

Malipo
4.5k kila siku

Location tabora
Asante sana Teacher. Nimepata kazi tayari wangu. MUNGU AKUBARIKI. Hii fursa naachia wengine waipate. Jamani Tabora kazi hiyo wapendwa tuchangamkie fursa
 
Pole sana
Tunajua nyie ni viumbe dhaifu ila hukustahili yote haya
Alikudanganya na kukupa mimba huku akijua tendo hilo mwisho wake ni mimba
Huwa nawashangaa wanaume wa hivyo ambao wanajua fika ila wanajitoa ufahamu

Mungu kakupa mtoto mlee tu
Yeye atakimbia majukumu mangapi?
Kweli mwanaume unakimbia kulea mtoto
Je akiona wanaojitolea kulea yatima na kuwalipia kila mwezi maisha yao angesemaje

Mwambie namsalimia ila ajue hii ni Dunia huyo mtoto atakuja kuwa na maisha yake pia na huenda Mungu akamjaalia akaja kukusaidia ukiwa na hali mbaya

Natamani kukusaidia ila mitandao hii kuna wakati huwa ni story za kuokota na kuzileta
Nisamehe kama ni genuine situation
Basi piga moyo konde na utavuka
 
Pole sana
Tunajua nyie ni viumbe dhaifu ila hukustahili yote haya
Alikudanganya na kukupa mimba huku akijua tendo hilo mwisho wake ni mimba
Huwa nawashangaa wanaume wa hivyo ambao wanajua fika ila wanajitoa ufahamu

Mungu kakupa mtoto mlee tu
Yeye atakimbia majukumu mangapi?
Kweli mwanaume unakimbia kulea mtoto
Je akiona wanaojitolea kulea yatima na kuwalipia kila mwezi maisha yao wanasemaje

Mwambie namsalimia ila ajue hii ni Dunia huyo mtoto atakuja kuwa na maisha yake pia na huenda Mungu akamjaalia akaja kukusaidia ukiwa na hali mbaya

Natamani kukusaidia ila mitandao hii kuna wakati huwa ni story za kuokota na kuzileta
Nisamehe kama ni genuine situation
Basi piga moyo konde na utavuka
Asante wangu. Mungu akubariki na kazi niliyokuwa naitafuta kuna mtu huku amejitokeza kunikonekti mahali na nimeshapata kazi asanteni sana kwa kujali wapendwa japo hiki kisa ni cha kweli. Me namwogopa Mungu siwezi kuja hapa kwenye hadhara nitunge uongo au nimsingizie mtu uongo maana hakuna faida yoyote ya kufanya hivyo. Lengo ilikuwa kupata kazi na nimeshapata shukran sana
 
Asante wangu. Mungu akubariki na kazi niliyokuwa naitafuta kuna mtu huku amejitokeza kunikonekti mahali na nimeshapata kazi asanteni sana kwa kujali wapendwa japo hiki kisa ni cha kweli. Me namwogopa Mungu siwezi kuja hapa kwenye hadhara nitunge uongo au nimsingizie mtu uongo maana hakuna faida yoyote ya kufanya hivyo.
Jambo la kushukuru kama umepata kazi
Maana riziki anatoa Mungu ikipitia kwa watu tu
Sikuwa na maana kuwa unadanganya la hasha, bali nimesema kuna wengine huwa wanaleta story za kutoka Fb au mitandao mingine na kujifanya wao

Sina Shaka na ukweli wako kwa sasa na Mungu akukuzie mwanao aje kukusaidia pia baadae
Peace and love
 
Shukran asante sana wangu.
 
Best achana na hawa vinyamkera wana stress za maisha, don't give up be strong mama jikaze utafanikiwa mm nachokushauri jitahid upate hata elfu 10 nunua beseni tembeza mihogo mibichi na machungwa kwenye sehemu za ujenzi au bodaboda utauza au nunua trey ya mayai chemsha anza kuzungusha kikubwa kuwa msafi na smart na usikae kwa huruma au huzuni just smile and be happy with anyone utafanikiwa dear.
Ngoja nikupe mfano Kuna dada mmoja alipitia magumu alipata mimba lakin baba hamjui wanaume waliokua nae wakamkimbia alipambana akanunua kigodoro cha shule akawa analala site alilea mimba alipojifungua yule mtoto ni kama baraka maisha yamemnyokea sasa hivi yupo kwake na amepata mme mzuri. Kikubwa muombe Mungu
 
Nimeona dar, wanatembeza mihogo na karanga mbichi kwa beseni.
 
Back
Top Bottom