Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

Nimetuma sticker ya ngono kwenye group la kanisa
 
Ujue siku yakiwakuta mtajua uzito wake, wengine tuna majukumu tumepewa sasa watu walikuwa wanajua wewe ni kioo halafu wanakutana na picha kama hii lazima wajiulize mara 2.
Ndio nafasi ya kujifunza pia..
1. Kwamba unachofanya hakiendani na heshma yako kanisani..ujirekebishe
2. Kwamba unapopata fedheha ya ghafla usipaniki, ungefuta kwa wote sema ulipaniki
 
Mimi ilinitokea nikamtumia msg ya mapenzi BABA MKWE, dahhhh nilimtumia msg ya kumwambia nilikosea lakini hakujibu nae alikausha tu.
 
Kilicho gizani kimeletwa nuruni.

usijali ni njia ya Mungu kukuonya kua unachofanya si chema na hakiendani na mtu wa kanisani kama wewe.
 
Na bila shaka watu wametunza screenshot hadi leo.
 
Kuna watu watachukulia poa lakini moyoni mwako wewe binafsi unajua jinsi ilivyokuumiza.
Binafsi naweka password ktk app pia. Nikimpa mtu simu nakagua kwanza picha zote najua kuna magroup ya wasap ya washkaj wanatumga picha za ovyo.

Usiharibu image yako kwa watu wanaokuamini.

Kristo asidharirishwe kwa upuuzi wako wewe mtu mmoja damage yake kiroho, kiimani na kijamii ni kubwa.

Ndiyo maana Gwajima na ile kashfa yake ilibidi wachungaji wengine waingilie kutaka uthibitisho, kukana na kupinga madhabahuni na magazetini. Why? Kama ni kweli Gwajima akemewe kama ni uongo upingwe ili kutokuharibu kazi ya Kristo.

Pole sana kwa yaliyokukuta. Una lakujifunza kwa sababu nafasi ya pili bado ipo. Chunga yasikukute na nafasi ya pili isiwepo.
Nice Sunday.
Wiki ijayo wahi kanisani.
 
Nakumbuka wakati nipo mwaka wa 4 mwanzoni chuo, group la class WhatsApp kuna jamaa alikosea akatuma picha yake ya ubo0. Aliidelete for all ila ilikua kazi bure kwasie wa WhatsApp gb. Yule jamaa hakuwahi tena kutuma chochote hata meseji kwenye group hadi tunahitimu[emoji23][emoji23]
 
Ila mkuu haupo makini kabisa kosa la kwanza umetuma sticker ya ngono sawa umekosea, kosa la pili umekosea kufuata kosa la tatu umeleft yani watu watakuona huyu kijana mavimavi kweli yani kaamua kuchafua hali ya hewa hata hajafuta alafu kasepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,,,nenda mwambie admin akuombee msamahaa

Kuwa na roho kama ya mchungaji gwajima ambae video yake ulivuja kanisa lake lote na Tanzania mzima waliona lakin akatuaminisha ule mkono sio wake ni wa baunsa na bado watu wakamuelewa ,,,mkuu eb jitoe akili kidogo nawe hiyo ishu ndogo tu waambie huo sio mkono wako/haujaandika wew mkono wa baunsa umeandika aliazima simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Embu tuione
 
Ha
Hakuna mkamilifu chini ya jua.Kuwa na amani tu!!!Nenda kanisani,ONDOA hofu.
 
Hao unaowaogopa na wao wana mambo mengi na machafu pia.

Ukitambua hilo hautajali hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kuiweka hapa ili tuone ni jinsi gani tutakusaidia!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aisee ni nomaa snaaa
 
Aisee ni noma sanaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…