Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Hiyo Tzee niliona tu bango town, kumbe ni noma? Polee mi naweza kukata mzinga inategemeana na mood😌

Ahsante. Kawaida najua kuishi nalo.

Aisee. Kumbe Uko vyedi na ww shem.
Tzee Ziko , flavour nzur sana. Lemon imechanganywa na Tangawizi.
Kwahiyo hata kavu kavu inashuka.
alaf bei iko poa. 15k-20k wanauza.

Kali sana ila. Inapanda haraka alaf inashuka Haraka.
Na pia ina bustisha nguvu za kike 😂😂😂😂.
 
hivi mbona mnapenda kunichekesha😆😆😆 eti haumalizi wiki unarudi alooooo
ila mim ndo namuona kwa mara ya kwanza aseee
 
Uweeeh 😍 hizo flavour nazitaka😊

Hilo tambo ninalo weekend hii😋 ngoja nimshawishi kijana mdogo mdogo tuone kama kweli😆
 
Uweeeh 😍 hizo flavour nazitaka😊

Hilo tambo ninalo weekend hii😋 ngoja nimshawishi kijana mdogo mdogo tuone kama kweli😆

Kabisa kabisa. Enjoy Shem.

Ijaribu TZEE hautojutia.

Najua umepapenda hapo kuwa zina bustisha nguvu, naona ukaamua kabisa na kijana awepo pemben ili usisumbuke, dah 😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…