Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

Status
Not open for further replies.
Modes naomba ufunge huu uzi naona umewakwaza wanaume wengi, japo ukweli ni kwamba ni hadithi ambayo nimeikuta huku mtandaoni nikaibadilisha kidogo ili iende na mazingira ya kwetu. Lakini haina uhusiano wowote na maisha hadithi ya kwangu. Japo ni mambo ambayo yapo kwenye jamii. Fuatilia hiyo link hapo.
 
hahaaa Umetisha, siyo story kamili mpendwa nilitaka tu kuleta funzo nimekutana nayo uko opeara
 

Ila ulikuwa mkali kwa wadau mpaka Mimi Mzee nikashindwa kuchangia kwa hekima
Niliona nisije kubunjiwa heshima bure [emoji23]

Ila kwa kama umeupata mahali sawa ila sio poa kabisa kutembea na wake za watu wakati singles na single mother wamejaa [emoji23]
 
Kwa muhtasari ,kilichokuponza ni "Ki -IST" chake.
 
Kweli dunia hii ina watu bongolala kabisa!! Yaani umemfanyia kosa kubwa hivyo mwanamme mwenzio mara kadhaa halafu bila aibu unajitangaza hapa kana kwamba umefanya jambo la kishujaa sana eeh??!! Risasi 40 ni halali yako! Ulitakiwa kujutia kosa si kuja kujigamba humu. Jaribu kuvaa viatu vya huyo mwenzio, we ndio umegongewa mkeo mpaka watoto wa3. INAUMA AU SIO?! Shetani akuache uone ukubwa wa kosa uliomfanyia mwanaume mwenzio. Ujue KARMA ni halisi na utalipa unavyostahili mapema kama si kesho tu!!?
 
Kuna wengine wanamwaga sana matusi mkuu, hivyo ili kubalance lazima uende nao sawa. Nilichojifunza hapa ni kwamba wanadamu kwa asili yetu ya dhambi bado tunapenda kujificha sana gizani. Kwa nini kati ya wale walionishambulia hakuna hata mmoja asiyechepuka iwe kwa mwanaume au mwanamke. Mara nyingi kuchepuka pale nguvu ya binadamu inapopungua. Kama mwanaume ukiwa mwaminifu mwanamke anakuwa shida. Na hii ndo inapelekea kufanya yale aliyofanya Saidi, wengi wanamlaum wanamwita kichaa ni kweli kwa sababu wataalamu wa afya ya akili wanatuambia kila binadamu ni kichaa tofauti ni level ya ukichaa.
Lengo kuleta hii mada hapa juu ilikuwa nikukumbushana tu kuwa kwenye ndoa zetu kuna mambo yanaendelea ambayo huenda tusiyajue mpaka siku tunaenda kaburini.

Nakumbuka na kubaliana na Mheshimiwa Kabudi akiwa waziri wa sheria aliwahi kunukuliwa bungeni kuwa asilimia kubwa ya wazazi wa kiume ni parental na siyo biological.

Lakini pia kuna mdau hapo juu alisema naweza kuwekewa mtegoni kupitia mwanamke kwa mwanaume au mwanamke aliyezoea kuchepuka hutompata kwa mtego hata siku moja.

Asante
 
Ukisikia mauaji ya kutisha bas Kuna sababu ether wee au mwanamke yule atakuja kuchinjwa Kam kuku
 
Sas mam denyi unasema kuwa mkp jamaa atangulie ndio mkee aje aseme ukweli wa watoto je huyu jamaa akitaka kumua huyo mzee ili abaki na watot

Haya vip ukoo wa bwana yule wakisikia mke wa kaka yao amemtambulisha Bab mwingineee itakuaje hapo mam denyi

HV vitu vipo Sana tu katk jamii ila hupaswi kuwaambia ukweli watoto wako Hadi mwisho
 
Umejuaje kama watoto wote ni wako? Una uthibitisho gani usiotia shaka?
 
Sign ya kwanza kumjua mwanamke mzinzi na malaya iwapo yupo kwenye mahusiano ni kumsingizia aliye naye hamridhishi. Ukisikia hiyo kauli kimbia hata wewe akikenda kwa wengine stori ni hiyo hiyo.

Pole Sana ila unalipa ujinga uliofanya. Hakuna mwanaume anayekubali alelewe watoto wake na single. Huyo wa kwanza alimuacha kwa ajili ya umalaya wake! Ukajiona kidume na pengine hata wewe unadanganywa
 

Kuchepuka tunachepuka ila tunashirikisha ubongo sio unamwaga shahawa kote kote bila kutumia akili, mimi ni mume na baba, watoto wengine wapo hadi chuo, na hapa ninaye mchepuko ambaye huwa namla, na pia nimewahi kutafuna mke wa mtu, japo nilijutia sana, moyo ulinisuta maana hapo nilipitiliza mstari.
Lakini kwa yote, huwa nipo makini sana, nachepuka na kufanya yote ila naepuka
  • Kumpelekea mke wangu ukimwi
  • Kuzaliana huko nje
  • Au hata kumvurugisha mke wangu kwa mchepuko yeyote, kawaida huwa nawaambia michepuko mapema kwamba mimi mume na baba, tuyacheze ila tuwe na mstari.
 
Achana na mke wa mtu, fanya mambo mengine...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…