Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Msahau uliyeachan naye Fanyakazi
Vaa na kula vizuri
Fanya ibada.
Leisure fanya vitu unavyovipenda


Miezi 6 ijayo njoo na feedback
 
Umekuja sehemu sahihi kabisa, hakika hapa hutakosa wa kukutongoza na kukuweka kabisa.
 
Ahahahaha mkuu upo mkoa gani ahahaha daaah pole mkuu
 
Kijinsia sawa, lakini binadamu si tuna akili, we kama umekipenda kweli kitu kwanini usichukue hatua kukipata?? eti mzabzab
Mdada alini block ili hali nampenda ningefanya nini.

Nakumbuka ilibidi niende Kongo.. fundi aliniwezesha kuingia kwao bila kuonekana.

Nilimfaidi sana yule dada. Naingia kwake nipendavyo. Ikawa ndio dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…