Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Sawa dada Lovelovie! 😂😂😂Wasiwasi wako maradhi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dada Lovelovie! 😂😂😂Wasiwasi wako maradhi yako.
Uanaume ni kuoa single maza???Si hasira naona tu venye watu wanaongea ni kama hawakufunzwa na baba zao uanaume ni nn.
Duh, noma sana...nimeangalia tena, huyu ni Ke anaongea hivi.K imeshatanuliwa na mtoto wa mtu mwingine, we unadhani kupitisha kichwa cha mtoto tn siyo wako kule chini unadhan mchezo! na wew unataka ukapite hapo hapo, tafuta mwingine utaeanza nae moja
ukishazaa na mwanamke basi mmeungana milele hata kama hawasiliani nayeHabari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.
katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.
kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!
Ahsanteni.
Binafsi kama hajafiwa na mumewe ninawaona wapuuzi hawana akili wajinga wapumbavu mibwegeHivi jamii inawachukuliaje single maza?
Uanaume ni kua na maamuzi binafsi na si kuamuliwaUanaume ni kuoa single maza???
AggregateDaima mechi ya mpra wa miguu huanzia 0-0 na si 0-1...
Sent from my SM-A920F using JamiiForums mobile app
Mengine yanahitaji kusikiliza wakubwa zako ili unapofanya maamuzi walau uwe unajua risks zote, hasa wazazi. Tusipuuze sana ushauri wa wazazi....valuable!Uanaume ni kua na maamuzi binafsi na si kuamuliwa
SawaMengine yanahitaji kusikiliza wakubwa zako ili unapofanya maamuzi walau uwe unajua risks zote, hasa wazazi. Tusipuuze sana ushauri wa wazazi....valuable!
Mengine yanahitaji kusikiliza wakubwa zako ili unapofanya maamuzi walau uwe unajua risks zote, hasa wazazi. Tusipuuze sana ushauri wa wazazi....valuable!
Upo sahh sanaSidhani kama mtu aliyezaa ana ubaya na hichi wengi wanachofanya ni kuwatenga Hawa watu nao ni watu kama sisi
Kitu Cha msingi ni maelewano kati yenu wangapi wameoa freshers na wakapigwa matukio? Nina wadau kama watu hivi ameoa mke Yani kaugomvi kidogo jamaa asubuhi kaenda kazini anarudi nyumba nyeupe amezoa Kila kitu , mwingine hata hawakugombana basi tu mwanamke anasema hamtaki jamaa
Faida ya Hawa single mama: wanakuwa washapitia changamoto wanazijua na hawataki kurudia makosa kwasababu anavuta picha akiachwa na hapo jamii itamuona ni Malaya hata hivyo hakuna atakayemtaka tena
Mengine ni mapungufu ya kibinaadamu wote tunayo , jiulize na wewe unaesema utakubali mwanao aoe single Maza ebu vaa viatu hivyo hivyo vya mzazi ambae mwanae alipata ujauzito mazingira tata mf kubakwa au mumewe alikuwa mwizi au tabia ingine mbovu alafu akaachwa ana mtoto alafu watu wamkatae hivyo viatu vivae utafurahia mwanao kutengwa hivyo?
Chief
Kama unaamini kabisa na nafsi inakwambia huyo ndio chagua lako,nakushauri jitwishe huo mzigo chap.
Khs mtoto usiseme kwasasa hlf huko mbeleni unatengeneza story kwamba kumbe wife alikuwa na mtoto Ila aliogopa kuniambia kwa kuhofia nisinge funga nae ndoa,hapo ishu imeisha.
Kumbuka mwisho wa siku ni mke wako na wewe ndo utawajibika Kwa maamuzi yako.
😀😀😀Kwa hiyo SINGLE MAMA hawana AKILI wapuuzi wameyataka wenyewe hayo MAISHA ya kudhalaulika na kupata Tabu
WAJINGA fulani
Sahh kabsaIngawa mapenzi ni yako lakini amini kuwa wazazi na ndugu zako wa karibu bado wana nafas kwenye familia yako.
Wazazi wanaonaga mbali, huwezi gundua hasa unapokuwa “in love” until ikutokee.
In this generation, kwenye mapenzi punguza hisia ongeza akili.
Si aliyempa mimbaSasa mnataka nani awawoweee??
Kwanini uvae viatu vya mwengine kwani vyako vimepotea...First rule care kuhusu wewe uliingie tatizo kisa kuvaa viatu vya mwengine kwani wanawake wameisha au unalzimishwa kuoa.Sidhani kama mtu aliyezaa ana ubaya na hichi wengi wanachofanya ni kuwatenga Hawa watu nao ni watu kama sisi