Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

K imeshatanuliwa na mtoto wa mtu mwingine, we unadhani kupitisha kichwa cha mtoto tn siyo wako kule chini unadhan mchezo! na wew unataka ukapite hapo hapo, tafuta mwingine utaeanza nae moja
Duh, noma sana...nimeangalia tena, huyu ni Ke anaongea hivi.
 
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.

Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana tangu miaka hiyo.

katika stor 2 tatu na mzazi wangu siku moja aligusia akisema kuwa anahitaji mwanae aishi na mwanamke ambaye hana mtoto kabisa ni kama wote waanze upya pia hataki mwanae azae kwa kutanga tanga, yaani mara huyu mara yule.

kutokana na kauli hiyo napata kigugumizi kwenda kumtambulisha huyu wangu ambaye tayar ana mtoto ambaye sio wangu. Naombeni ushauri!

Ahsanteni.
ukishazaa na mwanamke basi mmeungana milele hata kama hawasiliani naye
 
Nilienda sherehe moja, binti anaolewa ila wazazi wake hawakuishi pamoja, mama aliolewa na mwamba mwingine. Mama yupo na mume wake, ila kwenye sherehe ni baba na mama wa binti wanasimama pamoja...then namuangalia 'baba wa kambo' anavyomkata jicho mkewe akiwa kasimama na mzazi mwenzie. Ile feeling ni noma sana wakuu.

Kumbuka tu mkuu, wazazi hawatenganishwi kwa lolote isipokuwa kifo.
 
Hivi jamii inawachukuliaje single maza?
Binafsi kama hajafiwa na mumewe ninawaona wapuuzi hawana akili wajinga wapumbavu mibwege
Na yule alozaa kabla ya ndoa ninamuoa malaya muuzaji mdangaji
Ndio malaya unaanzaje kumpa **** mwanaume ambaye si mumeo mpk akuzalishe mtoto

Mwanamke kadizainiwa kwa mwanaume mmoja tu aliye HAI(elewa hapo)
tofauti na hapo ukianza kuigawa hiyo NDUDE kwa kila mwanaume ukaruhusu akumwagie ugiligili wake
Lazima Dunia uone chungu na maisha yako yote yatavurugika hakuna RANGI utaacha kuiyona

Kwa hiyo SINGLE MAMA hawana AKILI wapuuzi wameyataka wenyewe hayo MAISHA ya kudhalaulika na kupata Tabu
WAJINGA fulani
 
Uanaume ni kua na maamuzi binafsi na si kuamuliwa
Mengine yanahitaji kusikiliza wakubwa zako ili unapofanya maamuzi walau uwe unajua risks zote, hasa wazazi. Tusipuuze sana ushauri wa wazazi....valuable!
 
Sawa
 
Sidhani kama mtu aliyezaa ana ubaya na hichi wengi wanachofanya ni kuwatenga Hawa watu nao ni watu kama sisi

Kitu Cha msingi ni maelewano kati yenu wangapi wameoa freshers na wakapigwa matukio? Nina wadau kama watu hivi ameoa mke Yani kaugomvi kidogo jamaa asubuhi kaenda kazini anarudi nyumba nyeupe amezoa Kila kitu , mwingine hata hawakugombana basi tu mwanamke anasema hamtaki jamaa

Faida ya Hawa single mama: wanakuwa washapitia changamoto wanazijua na hawataki kurudia makosa kwasababu anavuta picha akiachwa na hapo jamii itamuona ni Malaya hata hivyo hakuna atakayemtaka tena

Mengine ni mapungufu ya kibinaadamu wote tunayo , jiulize na wewe unaesema utakubali mwanao aoe single Maza ebu vaa viatu hivyo hivyo vya mzazi ambae mwanae alipata ujauzito mazingira tata mf kubakwa au mumewe alikuwa mwizi au tabia ingine mbovu alafu akaachwa ana mtoto alafu watu wamkatae hivyo viatu vivae utafurahia mwanao kutengwa hivyo?
Upo sahh sana
 
asilimia kubwa kama si 97% ya waliozaa kabla ya ndoa haikutokea hivyo kwa bahati mbaya, ni matokeo ya kutotulia.
 
Chief

Kama unaamini kabisa na nafsi inakwambia huyo ndio chagua lako,nakushauri jitwishe huo mzigo chap.

Khs mtoto usiseme kwasasa hlf huko mbeleni unatengeneza story kwamba kumbe wife alikuwa na mtoto Ila aliogopa kuniambia kwa kuhofia nisinge funga nae ndoa,hapo ishu imeisha.

Kumbuka mwisho wa siku ni mke wako na wewe ndo utawajibika Kwa maamuzi yako.

Nimekuelewa hapo kwenye “Wewe utawajibika kwa maamuzi yako”
 
Ingawa mapenzi ni yako lakini amini kuwa wazazi na ndugu zako wa karibu bado wana nafas kwenye familia yako.

Wazazi wanaonaga mbali, huwezi gundua hasa unapokuwa “in love” until ikutokee.

In this generation, kwenye mapenzi punguza hisia ongeza akili.
 
Sahh kabsa
 
Yani wanawake nawashangaa Sana yani wao sisi tukiwakataa SINGLE MOTHER wanatuona tu roho mbaya sana..

Ila wao wanavyotaka wanaume wenye hela sijui wanafikil ambao hawana wanajisikiaje

Sisi tukiwapondea single mother wanaumia..

Oya oya single mother ni wa kupiga na kukimbia usiweke kambi aisee utajuta labda Kama mzazi mwenzie kafa
 
Sidhani kama mtu aliyezaa ana ubaya na hichi wengi wanachofanya ni kuwatenga Hawa watu nao ni watu kama sisi

Kitu Cha msingi ni maelewano kati yenu wangapi wameoa freshers na wakapigwa matukio? Nina wadau kama watu hivi ameoa mke Yani kaugomvi kidogo jamaa asubuhi kaenda kazini anarudi nyumba nyeupe amezoa Kila kitu , mwingine hata hawakugombana basi tu mwanamke anasema hamtaki jamaa

Faida ya Hawa single mama: wanakuwa washapitia changamoto wanazijua na hawataki kurudia makosa kwasababu anavuta picha akiachwa na hapo jamii itamuona ni Malaya hata hivyo hakuna atakayemtaka tena

Mengine ni mapungufu ya kibinaadamu wote tunayo , jiulize na wewe unaesema utakubali mwanao aoe single Maza ebu vaa viatu hivyo hivyo vya mzazi ambae mwanae alipata ujauzito mazingira tata mf kubakwa au mumewe alikuwa mwizi au tabia ingine mbovu alafu akaachwa ana mtoto alafu watu wamkatae hivyo viatu vivae utafurahia mwanao kutengwa hivyo?
Kwanini uvae viatu vya mwengine kwani vyako vimepotea...First rule care kuhusu wewe uliingie tatizo kisa kuvaa viatu vya mwengine kwani wanawake wameisha au unalzimishwa kuoa.

Kuoa fresh na akawa na matatizo hio ni nature Duniani matatizo hayaepukiki ila ujinga ni pale kuliingia tatizo kwa kutaka sawa na ucheze balabalani mtu akikwambia utagongwa ufe useme mbona kina waliolala wamekufa INSANE

PERSONAL sioi single mother kamwe hii haijarishi hata Kama mamayangu au mwanangu ni single mother mahusiano yangu ya kimapenzi hayahusiani ya ndugu zangu,...sio kwamba sioi kwasababu na wachukia ila 90% wanawavunja moyo wanaume waliokuwa na nia nao wenyewe Sasa Nini kufuata matatizo na wakati wanawake wasio na watoto wako wamejitunza vizuri kwanini tusiwape zawadi hawa wakiojutunza je wao wapendwe na kuolewa na nani.
 
Back
Top Bottom