hahhahahahhahah......kamuulize meja kunta alivyoimba ile nyimbe yake ya madanga.....hao ndo watoto waWewe ni Ke au Me? Kama wewe Ke na ushaliwa sio ajabu, na Me vile vile hauna maajabu na sio ajabu hio pesa wapo wenye shida elfu2 kwa siku anakuona malaika. Reference ya mbwa ya mdau usiipuze paukwa pakawa
Pisi kali halafu halikupendi, halikuzimii huo ndo ukweliUjue ni pisi kali balaaa
hao tuna waita babysantadorahh!!!???Pisi kali halafu halikupendi, halikuzimii huo ndo ukweli
30k[emoji85][emoji85]
Ha ha ha...mkubwa umri ila una mambo ya kitoto sana[emoji848][emoji848][emoji16]Ndo niwekeze mwaka mzima kwel ujue inakatisha tamaa sana yaaan
Kuna kipind nikazuga naumwa hata kuulizia kuwa naendele aje hakuna
Anajua duka siyo lakwako Una uza Duka la ndugu yakoAu kwakuwa ni muajiriwa serikalin nn mie napiga issue za dukan ila nikiangalia kifedha naona kabsa namzid japo mie muuza duka
mkuuu ukisema huyo demu ni mpya unakosea....mana alikotoka huko ni dekio mkuu......chunga maandishi yako mkuuu...demu mpya siku hizi hamnaaa....nisamehe kama nimekosea kuandikaaKama amekubali komaa, madem ndio walivyo apo ukikomaa komaa ataona value yako ila na ww usiwe unatuma sms kama kitabu sasa.
Kua romantic tu.
Duuuh dukani tena...maticha wanashobo na wasomi, vitengoAu kwakuwa ni muajiriwa serikalin nn mie napiga issue za dukan ila nikiangalia kifedha naona kabsa namzid japo mie muuza duka
Kwako ni mpya, usiangalie nani anamuonaje ila wewe unamuonaje. Inachukua muda mwanamke kumpenda mwanamke.mkuuu ukisema huyo demu ni mpya unakosea....mana alikotoka huko ni dekio mkuu......chunga maandishi yako mkuuu...demu mpya siku hizi hamnaaa....nisamehe kama nimekosea kuandikaa
Ili limfikie mtoa Mada, alione vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha...mkubwa umri ila una mambo ya kitoto sana[emoji848][emoji848][emoji16]
Mpaka hapo hujui hupendwi?
Ukiona mwanamke hana shobo na weee ktk chatting ujue hupendwi
Wewe hupendwi hata kidogooo
hahahahahhahahhahahahKwako ni mpya, usiangalie nani anamuonaje ila wewe unamuonaje. Inachukua muda mwanamke kumpenda mwanamke.
Ni kawaida yetu wanaume kua wavumilivu mnoo kabla ya kupata mbususu utakua ni mwanaume wa ajabu kama hujui hilo. We vumilia tu ukipiga show murua atakutafutaga tu mwenyewe
Kumbe unauza duka inaweza kuwa hata si la kwako piaHapa naanza kukuelewa kabsa kwasb yee ni mwalimu mie napiga mishe za dukan tuuu
Kwaiyo mkuu ma Rais waliyopita wote wake zao ni walimu?Kumbe unauza duka inaweza kuwa hata si la kwako pia
Kama ni mwalim huyo ana ndoto ya kuwa na mtu ambaye ni wa level yake au juu zaidi
Ukizingatia wanawake wa hiyo kada wana nyota ya kuwa na wanaume ambao wanakuja kuwa marais baadae