Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Ww jamaa unaonekana hata kwenye ukoo wenu hupendwi ,ku- criticize Kila kona
 
Asante sana mkuu, umeichambua vizuri sana!!
 
Unalosema lina ukweli. Ila mtoa mada anaonekana ana mshahara mkubwa na sidhani kama anahitaji hiyo hela a survive I think ni ya investment tu. So kuna long term investment na short term. Miaka tisa sio mingi.

Ila anaweza akanunua fuso leo mara limedondokea kitonga. Au akaingiza kwenye kilimo kukawa na 50/50. So ni yeye atachagua afanye nini
 
Nenda kachukue mabalo ya mtumba uje uuze tz kwa bei ya jumla chukua mabalo ya mashuka na duvert pia nguo za watoti grade one na mapanzia utapat soko
Huku
Asante kwa wazo mkuu. Ila huo muda wa kusafiri kufuata mzigo nje ndo sina mkuu. Si unajua tena hizi kazi zetu za kitumwa za kuajiriwa?
 
Nimekumanya vyema sana Mwaisa😂😂
 
Mkuu unataka partner((kibongobongo partnership ni kutafuta na ubaya))wa nini wakati una uhakika hiyo biashara yako risk ni 0 ya mtaji wa M3 up to 6M kwann usikomae mwnywe.


Nyie watu wenye maneno mengi kwenye biashara wabaya sana.
Vipato havijawahi kuwa sawa abadani, sipati picha workmate wako aisee
 
Asante kwa mawazo mkuu, japo namba 4 & 5 umebania😂😂😂
Acha ningie field kuzifanyia utafiti your ideas, hasa namba 1, imenivutia zaidi.
 
Ww jamaa unaonekana hata kwenye ukoo wenu hupendwi ,ku- criticize Kila kona
ww motivesheno spika fanya kazi acha kulilia mitaji ya wanaume wenzio kwa kisingizio cha partnership...

Mimi nimesema kitu ninachokielewa kuliko kujenga nyumba ya M50 nipangishe bora niingie china nikaagizie mali fudenge hata za M20 ukitembea hata nusu ya mzigo nina uhakika wa M30.
 
Mkuu nimekuelwa sana kwa nature ya mtoa post hana pesa ya ngama kweli afanye kitu.
 
Asante sana mkuu, umeongea point.
 
Asante kwa mawazo mkuu, japo namba 4 & 5 umebania[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ningie field kuzifanyia utafiti your ideas, hasa namba 1, imenivutia zaidi.
Hizo idea mbili nikikosa mtaji acha nife nazo ni pesa za bure(kwa mwaka kufunga na M20 inaosma kwa acc kawaida)na idea zake zimekuja wakati nipo hardtime sana....so kuzitoa kizembe sio kweli ila mambo ya kufanya yapo mengi sana mkuu mchawi usimamizi tu.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
 
Mipango ya namna hii haiongeleki jf ww kama vipi tafta bar moja safi kaa agiza beer zako 5 alaf angalia angalia mtu mzima mmoja wa heshma mualike mpige maji alaf anzisha stor sasa utaona asubuhi kama hauamki na plan nzuri
Mkuu safari moja huanzisha isije ikawa ni lete nyingine, wewe lete nyingine😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…