Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kwanza ni makosa kujilinganisha na china, kwa sasa. Wako wayy above kitu ambacho kitaichukua tz miaka mingiKupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha zote kabisa walizo nazo tupo nyuma sana ndugu zangu.
Tusijiongopee wakuu tumeachwa mbali sana hizi silaha tulizo nazo kwetu sijui hawa mabwana wameziacha store maana hapa sioni huu uchafu wetu naona vitu vizito vizito mpaka inatisha siku tukianzisha ka vita ka kirafiki sisi na wao maana kamanda wetu mmoja wa JW alisema sisi ni jeshi la sita kwa ubora😁
Ukitazama kwenye documentaries silaha walizokuwa wakitumia wachina wakati wanapambana na Japan na vita vya wenyewe kwa wenyewe ni magobore ya ajabu ajabu hata airforce walikuwa hawana wala jeshi la wana maji linalo jitambua ila leo wanaonesha vyuma vizito hapa.
Sisi bado tumejaza magobore
Hawa wa marekani wapo kama vile kwenye maandamano ya kudai haki za wanawake 🤣🤣🤣Acha silaha mkuu hiyo ni balaa , pia angalia quality ya askari kwenye paredi hiyo utadhani wamepagwa kwa lesser na pia walivyo wakakamavu.
Sasa hapa chini angalia paredi ya Marekani askari wamekaa kishoga tu
View: https://youtu.be/P3S4aTyab2U?si=rF5nSY6dUd9m57jo
Tatizo jeshi la China halijawa 'battle tested' kwa miaka mingi zaidi ya mivutano ya hapa na pale tuMbona tangu 2022 nasema China inaizidi Urusi mbali kijeshi. Huo msimamo ninao kwa muda tu hasa nikitizama military industrial complex ya China.
China kaendelea tangu miaka 5,000 iliyopita. Vita ya hapo katikati kuanzia Opium wars na vita za dynasties zisikupumbaze ukaona kuna muda uliwahi kuwa sawa na Wachina.Inasikitisha kwa kweli mkuu WWII huyu mchina alikuwa backward kinoma na vita vita zisizo kwisha nchini kwake ila leo hii anaonesha vyuma vya maana sisi tunaendekeza siasa za maji taka mpaka majeshini
anafananisha na nchi ambayo ukiamka maneno mawili tu ndio yanatrend "Mama" na "kizimkazi" wakati China trending words ni AI na Machine learning. Huku kila kitu kizuri kafanya mama, kule mifumo mizuri ndio inafanya vizuri..... Aisee hatari sana mkuu...Mkuu upo serious kweli kuilinganisha Africa na China aisee???????
we jamaa kabila gani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Eti dawasco ahahaha umenichekesha we bwege ahahahaha
Jeshi kutokuwa battle tested inaleta athari miezi michache ya mwanzo, baada ya hapo mtakipata cha mtema kuni.Tatizo jeshi la China halijawa 'battle tested' kwa miaka mingi zaidi ya mivutano ya hapa na pale tu
Hata mimi nimemdharau sana, na ina maana alikuwa hajui au?Mkuu upo serious kweli kuilinganisha Africa na China aisee???????
Thubutuuuu...
Mtaji pekee wa waafrika ni kuzaliana ndio maana magufuli alikuwa anasisitiza sana kufyatua 😁alikuwa anajua hii fact japo Kuna watu hawakumuelewa kwanini anashauri kufyatuana sanaTuwaze yote hayo alafu tulombane saa ngapi sasa?... Unatuonea tu
Hahahah WATAUPONZAAA😊🤣
Kule hakuna chura kiziwi na kulipa posho Kwa wenza wa viongozi wakuuNimeona Hadi mbwa wakiroboti.
Ila china bhana nasikia Gwanzuu ilikuwa kama DSM tu miaka ya 90 kurudi nyuma.
Haya maendeleo yameanza sisi tukiwa tayari tunauhuru.
Hao wachina wenyewe hawawezi kuvunja tofali kama waafrika labda biskuti ndio maana wanatumia kichaka Cha teknolojia😁😁Dogo kwahiyo sisi tunavyovyunja matofali na kichwa we unadharau?
Mwaka huu wamefanya Trump aliamulu yafanyikeMarekani haijawahi fanya military parade hata siku moja Silaha zao siri
Lucas Mwashambwa badala ya kwenda Jeshini yeye kajificha kwenye UCHAWA 🐼Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha zote kabisa walizo nazo tupo nyuma sana ndugu zangu.
Tusijiongopee wakuu tumeachwa mbali sana hizi silaha tulizo nazo kwetu sijui hawa mabwana wameziacha store maana hapa sioni huu uchafu wetu naona vitu vizito vizito mpaka inatisha siku tukianzisha ka vita ka kirafiki sisi na wao maana kamanda wetu mmoja wa JW alisema sisi ni jeshi la sita kwa ubora😁
Ukitazama kwenye documentaries silaha walizokuwa wakitumia wachina wakati wanapambana na Japan na vita vya wenyewe kwa wenyewe ni magobore ya ajabu ajabu hata airforce walikuwa hawana wala jeshi la wana maji linalo jitambua ila leo wanaonesha vyuma vizito hapa.
Sisi bado tumejaza magobore
Tutafika tuu!Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.