Xi Jinping kafanikisha mitano tena oktoba kwa Xi tunatiki😀anafananisha na nchi ambayo ukiamka maneno mawili tu ndio yanatrend "Mama" na "kizimkazi" wakati China trending words ni AI na Machine learning. Huku kila kitu kizuri kafanya mama, kule mifumo mizuri ndio inafanya vizuri..... Aisee hatari sana mkuu...
Hakika mkuuBrother ulikuwa ujui hayo kwamba tuko nyuma sana sana. Afrika kuna kitu ambacho hatukielewi. Tumekaa kama watu wsiojielewa vile. Lakini ninaona shida kubwa sana kwetu ni elimu. Hatuna elimu ya kutuwezesha kujikomboa na zaidi sana tumekuwa na viongozi wabovu sana.
Kazi ipoLucas Mwashambwa badala ya kwenda Jeshini yeye kajificha kwenye UCHAWA 🐼
Tundege twetu sijatuona leo sijui vipo store vinapigwa na vumbi huko kwenye makambi ya wachina maana hapa naona mandege mazito tuUkitazama Ile event simchezo midege inaelea angani kama kunguru midege kibao
Nikawa Nina jisemea kimoyo moyo kwahayq anayo yqfanya china na sisi tunayo yqfanya katika siku ya uhuru hakika tunayo yqfanya inatosha kuwa comedy Huko Duniani 🤣🤣
Marekani na parade wapi na wapi wao Kila siku wapo kwenye missionsMarekani haijawahi fanya military parade hata siku moja Silaha zao siri
Hakuna kipya hapo. Sisi bado tunamsifia fisadi kama Rostam eti ni ''business magnate'' kwa nini tubaki nyuma? China huyu angeshauawa siku nyingi. Usione vyaelea... watu wanafanya kazi. Kwetu tunakimbilia kuvaa saa za gharama na kununua Rolls Royce.Wakuu tupo nyuma sana kuna vyuma unaviona hapa unasema hawa jamaa wakiamua kuwa serious kimabavu sisi tuwe makoloni yao hakuna wa kuzuia
Kazi ipoHakuna kipya hapo. Sisi bado tunamsifia fisadi kama Rostam eti ni ''business magnate'' kwa nini tubaki nyuma? China huyu angeshauawa siku nyingi. Usione vyaelea... watu wanafanya kazi. Kwetu tunakimbilia kuvaa saa za gharama na kununua Rolls Royce.
Sijasema ujilinganishe na hao, mbonansiza yako ipo?Kwa hiyo mkuu tujilinganishe na hawa wakina Burundi na msumbiji ama ?
Si sawa hata kujilinganisha nao, wa ni nchi ya viwanda ikiwepo silaha, sisi walaji tu. Tutajivunia kuwa na silaha kali toka kwao.Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Mkuu usitishwe kabisa na hayo manyanga field ni something extra mkuu muulize urusi wiki mbili ZIMEKUA miaka mingapi?
Fullstop, kwishaaa
Hatuja kataa shida ninani unae mface vitani je kama ana teknolojia kubwa na advance kukuzidiKwenye teknolojia field ni kama kunywa uji tuu.
Teknolojia ni kitu ingine mkuu