Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

P
Anapaswa kukubali kuwa changamoto ya haya yote yatatatuliwa kwa kuwa na muungano wenye usawa kwa pande zote mbili
 
Si sahihi. Jambo lisilo la muungano haliwezi kusimamiwa na serikali ya muungano. Haijalishi wanasiasa na machawa wao wanasema nini, ila hilo si sahihi hata kidogo.
 
Mbinu za kufundisha watu huna bali unalazimisha watu kuelewa
Na mwalimu wa namna hiyo tukuiteje sasa
 
Ni hivi Tanganyika inatawali na nchi ya Zanzibar. Teuzi zote muhimu, wizara zote muhimu Rais ameweka watu wake sio kwa ajili ya maslahi ya Tangangika. Maslahi ya genge lake.
Na hiyo itaendelea kwa miaka 10 Inshallah
 
Wazanzibar wote machoko na wapumbavu na ni mambwa hayana akili kutuzidi sisi the mwambaz wa Tanganyika na kwenye hili tutawanyoosha hao ngedere
Sawa lakini kiongozi wako mkuu ni mzazibari na huyo mutaendelea kua nae mpaka 2030 Inshallah
 
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
 
Makame Mbarawa ni waziri wa jamhuri irrespective anatokea sehemu gani ya Muungano ..hayo mengine wanayoongelea ni pambio TU ..soma katiba.
 
Tanganyika ipo ila imevaaa koti iangalie vizuuri utaiona
Hilo koti unaliona wewe tu. Haipo, labda irudishwe.

Naitamani Tanganyika, nimeiishi. Dah Lakini nani wa kuiendesha Tanganyika ikawa kama ile tunayoijuwa? Mimi nasema hakuna.
 
Ÿ

Kifupi hana uhalali kusimamia makubaliano ya Tanganyika (Tanzania bara)
. Rais wa sasa ni urithi hajagombea chochote, hana ridhaa ya Watanganyika popote. Anachagua mawazili wa hovyo.
Mustahamili tu ndio hivo tena kuna zama na zamu
 
Hilo koti unaliona wewe tu. Haipo, labda irudishwe.

Naitamani Tanganyika, nimeiishi. Dah Lakini nani wa kuiendesha Tanzania ikawa kama ile tunayoijuwa? Mimi nasema hakuna.
Mama Tanganyika tena siamini kama ni wewe
 
Ni hivi hiyo Tanganyika ndio imevaa koti la muungano kwa hiyo muungano ndio tanganyika
Wewe umenijibu ila hii kauli ya Tanganyika kuvikwa koti la muungano ni ngumu sana tena sana
 
Ni conflict of interest. Lakini kwa vyovyote vile Mbarawa ni mtuhumiwa wa Rushwa anatakiwa akae pembeni
 
Ni conflict of interest. Lakini kwa vyovyote vile Mbarawa ni mtuhumiwa wa Rushwa anatakiwa akae pembeni
Ukitaka kujua kuna rushwa tazama mkutano wa mbeya leo... magari mengi vile kuliko watu yamebeba wana CCM wote mkoa mzima wakaelimishwe kuhusu DP word ni nani anafadhili haya?
 
Na hiyo itaendelea kwa miaka 10 Inshallah
Haya mkuu, ni wakati wenu ila msituuze utumwani kama mlivyofanya kwa miaka 500. Umaarufu wa Zanzibar unatokana na damu za Wabara. Soko bidhaa ikiwa ni wabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…