mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
- Thread starter
- #41
PPascal nisaidie kufahamu kwa nini mtanzani wa kutoka bara yaani mimi na wewe, hatuna haki ya kugombea nafasi za juu za uongozi huko zanzibar wakati wenzetu wa zanzibar wana haki kugombea na kuongoza huku bara? Sasa ukiwa kama nguli kwenye jukwaa na kwa afya ya muungano wetu uendelee kudumu kwa muda mrefu huoni kama hili halijakaa vizuri?
Anapaswa kukubali kuwa changamoto ya haya yote yatatatuliwa kwa kuwa na muungano wenye usawa kwa pande zote mbili