Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Hadi sasa nimegundua ni Mawaziri wawili tu wanaoliliwa sana na wale waliokuwa wakiwatumikia.
Mawaziri hao ni aliyehamishwa Wizara mh Mchengerwa na yule aliyetumbuliwa mh Lukuvi.
Why?
Hakuna mtumishi anayemlilia Mchengerwa wala Lukuvi.Wana IDs nyingi humu ndani wameamua kuzitumia kujifagilia.