Sisi ndio wahusika hatujakuelewa kabsaaa. Umeandika kama hadithi ya kufikirika.Ww uko kwenye keyboard unaweza kuandika anything
But wahusika wameelewa namaanisha nini
Chadema wahuni sana hawa......hatari sana mkuu...
Hatari sana....
Najiuliza ingekuwaje huyo mwenzao Zitto asingetokea mlango wa Pilato na kuamua kupita mlango ambao MATEJA walijazana wakiwa na Kalamu zao na penseli....
Akina Sauli Mbavupana ,Maryam Sembenko ,Ali Chongomoja ,Willy Lyakya na mateja wenzao wa ubungo na kimara.....
Mateja si watu....🤣
...wahuni wa miaka yote........Chadema wahuni sana hawa
Huna sifa ya kumhimiza mtu yeyote afanye nini.Haya nenda road tarehe 23
Hivi hamna hata chembe ya aibu kumwona mtu wenu akiumbuka kwa kusema uongo mbele za watu wenye akili timamu?Kaandamane ewe bingwa wa nyuma ya keyboard....
Naona hili neno la 'treason' ni msamiati mpya kwako, maana umekuwa ukimba hilo neno kila siku humu. Haisaidii kitu, hata ungerudia mara milioni; huyo mama yenu kishaonyesha kichwani hazitoshi kabisa na ni mwongo aliye kubuhu.Akienda tu huyo ndio MHAINI mwenyewe.... TREASON TREASON TREASON
Acha woga dogo, chama rasimi Cha Cha siasa linawezaje kupanga vurugu??Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Jinga wewe hutaelewekaSoon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa
Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean
Chama Cha siasa kina vikao Gani vya siri?Chadema si wamoja tena. Inakuwaje vikao vyao vya siri vinadukuliwa??
Hizo za kubambikia wapinzani ili kufunika huu utekaji na mauaji inaeleweka. Hata aagize nini kifanyike, tayari yeye na serekali wameshafeli pakubwa kwenye imani ya umma. Zama za kutishia na kudanganya umma zilishaisha.Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan vurugu na Rais kapata ushahidi then waanze kutoroka inchi.
Otherwise Segerea itawahusu
Soma:
- Rais Dkt. Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo
Nimecheka kwa nguvu, tena sio Mnyika tu wamuite hata mkewe, lakini ukweli kuwa vyombo vya usalama na serekali yake ndio wahusika wa huu utekaji na mauaji ya wapinzani yako wazi. Kama Dr.Slaa alichosema ni kweli wamrudishie ubalozi wake.Soon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa
Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean
Hamna vikao hapo, watu wanalazimisha kujisafisha baada ya utekaji na mauji kuwachafua. Mkuu unashindwa kuona picha ya hadaa ili serekali ijisafishe? Walianza kusema kuna maiti zimekutwa kwa waganga, ni mahakama gani ina kesi ya mauaji za wale waganga ambao miili ilikutwa imezikwa?Chadema si wamoja tena. Inakuwaje vikao vyao vya siri vinadukuliwa??
Hii mbinu ya huyu mama kutaka kujisafisha baada ya utekaji na uuaji chini ya serekali yake inaitwa mfa maji haachi..Chura kalishwa tango pori maana kajochanganya eti katumiwa clip ya slaa wa CHADEMA??who is slaa wa CHADEMA???
na hiyo clip anayoiongelea ya Slaa ni ya 2021 yeye ndo kaipata juzi??
Na viongozi wa cdm wakifuata huu ushauri wako wa kitoto, ndio wataisafisha serekali na haya mauaji na utekaji. Haendi mtu kokote. Waumizeni fanyeni mtakalo lakini ukweli huu kuwa serekali ndio muhusika wa haya mauji na utekaji hauondoki. Wajinga wamesha. Aliyemshauri Samia kutumia mbinu za kishenzi za dhalimu magu kachemsha.Ukijua kwanini kapewa clip wakati huu then utaungana na Mimi kuwa viongozi waanze kwenda border mapema
Ukisikia mbinu za kizee ndio hizi sasa. Bado unaamini kuna wajinga ww kununua huu utoto wenu? Kwa hii hotuba ya leo ya rais ndio nimejua tunaongozwa na wajinga wa kiasi gani.Walioelewa wameelewa ww weka kichwa ngumu ukiwa home na family yako
Wenzako familia zao zilishakimbia Tanzania
Akili za kuambiwa changanya na zako
Albadili ýa wazee wa TangaSamia hajawahi kutoa hotuba mbovu kama ya Leo
Nalo ni kosa kisheria, mbona wanatazamwa tu na mamlaka?Wanajiteka wao wenyewe ni k hukumsikia Dr. Slaa?
Bro hata wewe hauko salamaWanajiteka wao wenyewe kwani hukumsikia Dr. Slaa?