Huu uzi ilibidi uwe mzuri sana,lakini unakuwa wa kipumbavu,page ya tatu,mtoa mada anauliza tu maswali.Nilijua humu kuna majibu,kumbe ni sehemu ya maswali fikirishi na fikra mfu.Kama kweli umepata Gold Nuggets sema ili nikushauri kitu chenye Uhalisia coz mimi ni mdau wa Madini....!
Ila kama ni story tu ambazo hazina uhalisia, basi wacha niendelee kusoma Comments.
Uko sahihi. GoldDhahabu amechokonoa mada nzuri sana. Yeye ameeleza wazi kuwa lengo ni kujua utaratibu wa kisheria iwapo hali kama hiyo itatokea. Wengi tunajua kuwa iwapo tukio la la bahati la aina hiyo likitokea, asilimia kubwa watafanya siri na kuuza bila kujulisha umma. Ila nia ya uzi ni kujua kisheria inatakiwa ufanye na consequenses zake...Huu uzi ilibidi uwe mzuri sana,lakini unakuwa wa kipumbavu,page ya tatu,mtoa mada anauliza tu maswali.Nilijua humu kuna majibu,kumbe ni sehemu ya maswali fikirishi na fikra mfu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uliza ilichomkuta yule Jamaa wa Shinyanga.
Muhimu ni kutuliza munkari.
Chukua sehemu kauze kaboreshe mahali pako kwa kuweka hata kiwanda cha unga wa sembe then usiku unangurumisha machine watu wanajua unaasaga sembe kumbe unaasaga mawe.
Ukijiroga tu utauwawa . Usicheze na pesa
View attachment 2823887
Hapo penyewe tu ukienda kuomba kukata leseni ya kitalu tayari wataweka doti kichwani mwao,Ushauri wangu kama ni eneo ambalo halina history ya dhahabu (probability ya uwepo wa leseni ni mdogo) nenda tume ya madini usiseme umeiona au kugundua dhahabu we kata kipande kikubwa Hadi kwa watu ambao bado hawajastuka lipia leseni (watakupa utaratibu) baada ya hapo we tangaza Kuna mzigo. Wadau watakuja ruhusu wachimbe we kula asilimia tu......
kumbuka hakuna siri ya mtu mmoja,ipo siku utamropokea tu hata mkeo ama nduguyoNaichukua naiweka ndani. Simwambii mtu yoyote. Hapo cha kufanya nakuwa namega kipande kidogo naenda kuuza.
Naenda mgodini, najifanya nanunua mawe ya dhahabu km sonko kisha nauza mpk mzigo unaisha. H
Hapo simwambii mtu yoyote ile yaani kimya kimya
Yaan lazima wakuchomeshe kwa wahusika sio kukwambia tu kukuuliza umeitoa wapi yaani ni lazima wakuchomeshe kwa wahusika unashangaa tu pira hili hapa umedakwa, na unaweza ukaporwa na mamwera vile vile wakikuona mshamba mshamba reference dogo wa Mtwara RIPNdo maana nilisema utonielewa.... Haya we ipeleke ila utanielewa watakapogoma kuinunua mpaka useme imetoka wapi kwa vielelezo!
Na hii ndio mbinu pekeeUshauri wangu kama ni eneo ambalo halina history ya dhahabu (probability ya uwepo wa leseni ni mdogo) nenda tume ya madini usiseme umeiona au kugundua dhahabu we kata kipande kikubwa Hadi kwa watu ambao bado hawajastuka lipia leseni (watakupa utaratibu) baada ya hapo we tangaza Kuna mzigo. Wadau watakuja ruhusu wachimbe we kula asilimia tu......
Ardhi Kenya si ya serikali. Jifunze kutofautishaHuo ni uonevu kabisa. Sidhani kama nchi za wenzetu wanafanya hivyo. Japo sina uhakika, lakini sidhani kama Kenya na wao utaratibu wao ni kama wa kwetu. Sidhani!
"Umeongea" kwa hisia Kali sana. Natamani ungekuwa bungeni ili uufikishe huu ujumbe kwa wahusika.Haya ndio mapungufu tuliyotengenezewa na waasisi wa taifa hili kwa kufurahia uhuru wa bendera hadi kusahau kufanya mgawanyo wa ardhi kwa kuzingatia umiliki wa awali wa kimila.
Serikali ni project ya wakoloni waliopora ardhi ya waafrika na kuihalalisha kwa mkutano wa kugawana mali ya wizi huko Berlin.
Utata unaojitokeza kuhusu umiliki wa ardhi na mali iliyoko ardhini kati ya Serikali na mwananchi ni ushahidi wa mapungufu ya kutofanya " Land reform" mara tu tulipopata uhuru. Serekali ilirithi mali ya wizi na haikutaka kuirejesha kwa wamiliki halali ambao ni mwananchi, badala yake imejimilikisha na kuwa mali ya Serikali chini ya usimamizi wa Rais.
Bara la ulaya baada ya kwisha vita vya pili vya Dunia,walianza kwa kuirejesha ardhi mikononi mwa wananchi, watu walipimiwa kati ekari 5 hadi 10, ardhi iliyobaki ni akiba, lakini mfumo wa mali ya umma ambayo ni misitu.
Kukosekana kwa sera ya ardhi na uwazi katika kushughulikia ardhi ndio chanzo cha migogoro inayojitokeza kwenye ardhi zetu. Haishangazi kusikia bangi iliyokutwa sahambani kwako ni mali yako wakati dhahabi au maji ya kisima ardhini ni mali ya Serikali......Huu ni ujinga karne!.
Na mimi ndivyo nilivyohisi mkuu. Angalia comment yangu uliyoniquote.Ardhi Kenya si ya serikali. Jifunze kutofautisha
Kabisa mkuu, km wamasai na umasai wao wamejikuta handeni alafu nako wanafukuzwa na wenye mji wao ni tabu sana hii.kuitoa dhahabu ardhini kama ni masikini unawezs hata kufungwa jela kwa kusingiziwa ili upishe wenye pesa.
Ili upate dhahabu inabidi uwe na pesa nyingi sana.
Simuambii mtu yoyote hata maendeleo sifanyi km mtu mwenye hela bali taratibu na kwa umakini mkubwa.kumbuka hakuna siri ya mtu mmoja,ipo siku utamropokea tu hata mkeo ama nduguyo
Achimbe kwa siri...Mkuu, biashara ya bangi inafanywa kwa siri. Labda chukulia mtu kakuta dhahabu shambani kwake na yeye anataka kufanya kila kitu Kisheria, Serikali inaweza kumpokonya?
Kuna migodi mingi tu, unaenda kuwa sonko. Unanunua mawe ya wachimbaji wadogo nawe unapitisha dhahabu hapoKwa Sonara au wapi? Maana wakikugundua wanakuchoma na wakikuchoma umekwisha utaitwa majina yote mabaya mtorosha Madini, muhujumu uchumi, nk na kesi juu
Labda Kenya huko, au unazungumzia DRC Congo?Kuna migodi mingi tu, unaenda kuwa sonko. Unanunua mawe ya wachimbaji wadogo nawe unapitisha dhahabu hapo
Hela huwa haina rafiki ni kukaa kijanja zaidi