GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #101
Ukiwapelekea hawatakuwa na shida na wewe. Sana sana watakutia moyo ufanye hivyo tena. Watakuwa marafiki zako wa karibu.Hiyo namba 2 hapo nikuulize swali, Je unafuatilia ile kesi kule Mtwara ya yule mfanyabiashara ya madini (RIP) ?
Utaishia kusikojulikana wewe wanagawana ulichowapelekea kiulaini.Ukiwapelekea hawatakuwa na shida na wewe. Sana sana watakutia moyo ufanye hivyo tena. Watakuwa marafiki zako wa karibu.
Kwani umeshawahi kumsikia mtu anayemchukia mtu anayempelekea ulaji?
Polisi siyo wajinga mkuu! Mbele ya dhahabu, usishangae unaitwa kamanda hata kama hujapitia mgambo.
Mkuu, ukikutana nayo utafanyaje? Utaitelekeza?Utaishia kusikojulikana wewe wanagawana ulichowapelekea kiulaini.
Dhahabu hata kwa meno unakata.Inawezekana kuonekana ni mjadala wa kivivu lakini ni wenye manufaa sana.........
Hivi melting point ya dhahabu ni ngapi ili uweze kuikata na kuuza kidogo kidogo kwa usalama wako..,...au unaweza kuikata na msumeno tu kama nondo ya kawaida....???
Kwanza unatuma maombi ya leseni then chukua coordinates za eneo unalotaka kukatia leseni yako nenda ofisi za madini wahakiki kama hilo eneo halina mtu aliekatia leseni ( Watahakiki kupitia coordinates ulizopeleka ) baada ya hapo kuna vitu vidogo kama form ya kiapo kutoka kwa mwanasheria ambayo nayo utaipeleka kwenye ofisi ya madini....Leseni ikikamilika unapigiwa cm ukaifuate kazi inakua imeisha.Sawa mkuu mwaga elimu wewe unaejua mengi
😃😃😃No. Jamaa katika kuchimba choo akakutana nazo. Maisha yakabadilika akaweka ukuta mkubwa nyumbani kwake akaanza kuchimba. Wananci wakaotea wakaenda kubomoa ukuta wakaanza kuchimba mpaka chumbani kwake
Aisee!Huu ujinga sifanyi Laizer angefanya hivi ubilionea angeusikia kwenye bomba
Mkuu, mbona kama umekuwa "suspicious?"JICHANGANYE uingie kwenye mtego.kuna mtu anatafutwa hapa.unaona avatar na username yake?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mkuu, ni rahisi kiasi hicho?Kwanza unatuma maombi ya leseni then chukua coordinates za eneo unalotaka kukatia leseni yako nenda ofisi za madini wahakiki kama hilo eneo halina mtu aliekatia leseni ( Watahakiki kupitia coordinates ulizopeleka ) baada ya hapo kuna vitu vidogo kama form ya kiapo kutoka kwa mwanasheria ambayo nayo utaipeleka kwenye ofisi ya madini....Leseni ikikamilika unapigiwa cm ukaifuate kazi inakua imeisha.
Hizo process zote hakuna wa kukuuliza kama una taaluma au hauna, Na hayo mambo ya kuwekwa kwenye blackbook sijui yametokea wapi ha ha ha.
Kwa kuongezea, Siku hizi wamerahisisha unaweza ukatuma maombi ya leseni hata ukiwa kwako na smartphone yako, Unaingia kwenye website ya wizara ya madini.
✅🙏Inawezekana kuonekana ni mjadala wa kivivu lakini ni wenye manufaa sana.........
Hivi melting point ya dhahabu ni ngapi ili uweze kuikata na kuuza kidogo kidogo kwa usalama wako..,...au unaweza kuikata na msumeno tu kama nondo ya kawaida....???
Melting point ya dhahabu ni nyuzi joto (C) 1064.Inawezekana kuonekana ni mjadala wa kivivu lakini ni wenye manufaa sana.........
Hivi melting point ya dhahabu ni ngapi ili uweze kuikata na kuuza kidogo kidogo kwa usalama wako..,...au unaweza kuikata na msumeno tu kama nondo ya kawaida....???
Haiwezekani ukute dhahabu shambani kwako alafu usijue cha kufanya.ndo maana nakuona kama unatka kumpiga mtu.ni sawa na uokote fuko la hela alafu haujui ufanye niniMkuu, mbona kama ungekuwa "suspicious?"
Sidhani kama kuna mtego wowote kwenye huu uzi.
Si kweli mkuu.Haiwezekani ukute dhahabu shambani kwako alafu usijue cha kufanya.ndo maana nakuona kama unatka kumpiga mtu.ni sawa na uokote fuko la hela alafu haujui ufanye nini
Wewe ungefanyeje?Huu ujinga sifanyi Laizer angefanya hivi ubilionea angeusikia kwenye bomba
Natafuta wahusika nawapanga nipate asilimia zangu sio nafanya janja alafu natoka mtupuWewe ungefanyeje?
Aisee!Dhahabu ikikutwa shambani mwako siyo yako bali ni mali ya Serikali, lakini bangi ikikutwa shambani mwako ni yako.
Wahusika gani mkuu? Wizara ya madini?Natafuta wahusika nawapanga nipate asilimia zangu sio nafanya janja alafu natoka mtupu
Mkuu, naamini kuna unachotaka niseme, lakini na mimi sitaingia kwenye huo mtego hata kidogo.