Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

Chief waonyeshe watoto wadogo ilipo pesa nyingi
Don't try this at home huwezi jua anapitia mateso gani ya kiroho,thus furaha yao ni kuwekeza kwenye vitu visivyodumu mda mrefu kama magari ya kifahari,kula bata nk at the end wao ni mifugo tu ya maviumbe mengine, unaenda kula mateso kwenye ulimwengu mwingine.
 
Yes
 
Watanzania sijui tulizaliwa na wivu au uchawi hata sielewi. Yaani pesa ya Godlove, ila watu wanateseka balaa
Wewe ni mpumbavu watu wanauza drug wanaribu nguvu kazi kwa hiyo waachwe kisa unasema ni wivu nenda kwenye nchi zote Duniani zilioendelea ufanye ujinga chifu God love uone kama utachukua mda bila kuwa Magereza lazima vyanzo vyako vya pesa vijulikane ndo maana Magu alikomesha wajinga kama nyie wapumbavu
 
Hakuna pesa ya kuku acha Uongo mimi mbeya ni home Tunduma nimeishi sana kwenda mpaka ireje uko Isongelo napajua mpaka Malawi acheni utaperi
 
Huo utajiri wa mahindi nausikiaga sana ila Kila unae muuliza connection anasema hajui
Utapeli tu kaka kuna dogo hivo hivo wanakuvuta wakutapeli ndo alitapeliwa nilimwambia hakuna icho kitu akaenda mpaka uko katikati mpakani mwa Malawi na Zambia akapigwa ukiona mtu anakuja na hizo stori jua ni tapeli
 
Kuna mwingine anaitwa Shafinize mwanza mwisho wao Ngoja utawala wa janja janja uishe aje mtu kama Magu watakubali
 
hizo za kuuza drugs mnadhani tu, kama mna ushahidi mmfunge. Halafu suala la kujua Vyanzo vya mapato yako ni serikali ndo inapaswa kujua sio wewe mwananchi

Kidogo nisahau aisee, "mpumbavu mwenyewe"
 
We ni mganga au
 
Ndagu!!! Hivi hizi story ni kweli Kuna pesa za ndagu au ni storytu?mbona nimetafta sana na naishia kutapeliwa!?
 
Hukufuata masharti
Hakuna kitu kama hicho.
Tunaambiwa Kila siku wakinga ni wachawi Sana ndiyo maana wanafanikiwa.
Mimi naona juhudi zinawafanya wafanikiwe.
Mtu karibia Kila wiki au siku kadhaa anaenda china kufuata bidhaa, huyu mtu lazima afanikkwe, biashara inatoka.
 
Kawaulize matapeli wenzake kama vile Gwajima, Mwakasege, Gamanywa, Lusekelo, na wengine wenye roho mtakakitu wanaowaibia mazwazwa waliokataa na kutamalaki nchini. Ni utapeli tu wa kawaida unamuingizia pesa kwa sababu Tanzania tuna wapumbavu wengi tu wanaoamini kwenye miujiza badala ya kuchapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…