Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 283
- 760
Hakuna cha project huyo ni tapeli tu.Hakuna cha tajiri hapo
Huyo dogo ni project yenye kazi maalum
[emoji23][emoji23][emoji23] atasubiri sana.yan mana vijana wamejipanga kwake kusubiria kutoa laki 5 kiingilio kupata utajiri kwa jicho la tatu.Kadiri tunavyovuta subira ndivyo jamaa anavyozidi kumake.
Pesa za manyooka?? Hivi ni kweli Kuna pesa za namba hyo?Itakua pesa za manyoka nyoka. Anyway, jambo lolote ukiwa na shaka nalo wewe lipe muda na ukweli utajianika. Usiwe na haraka.
Hakunaga utajiri wa kichawi nyieee
upo mzee tena kwa tanzania upo nyanda za juu kusuni sana wat wanalimia sana nyanya iringa hukoHakunaga utajiri wa kichawi nyieee
Tufanyeni kazi na kutunza pesa ,tupunguze starehe pia
Sio kweli ndg me nshahangaika sana kutafta mtaalam wa hyo mambo ila ni utapelitu na uzushiupo mzee tena kwa tanzania upo nyanda za juu kusuni sana wat wanalimia sana nyanya iringa huko
kukosa kwako na kutapeliwa hakuondoi ukweli kuwa utajili uwo upo kwahyo ktafta kwako kote hujawahi ata kumsikia mtu alikua anaitwa mamakanyaga wezio watoto wa mjini hasa apo karikoo miaka ya 2010,2009,2008,2007,2006 kawatajilisha sana kwa ndangu ya mahindi wewe ulika wapi sema alishakufa huyu mzeeSio kweli ndg me nshahangaika sana kutafta mtaalam wa hyo mambo ila ni utapelitu na uzushi
Mmmhkukosa kwako na kutapeliwa hakuondoi ukweli kuwa utajili uwo upo kwahyo ktafta kwako kote hujawahi ata kumsikia mtu alikua anaitwa mamakanyaga wezio watoto wa mjini hasa apo karikoo miaka ya 2010,2009,2008,2007,2006 kawatajilisha sana kwa ndangu ya mahindi wewe ulika wapi sema alishakufa huyu mzee
Huo utajiri wa mahindi nausikiaga sana ila Kila unae muuliza connection anasema hajuiMmmh
Hakuna cha tajiri hapo
Huyo dogo ni project yenye kazi maalum
Huo utajiri wa mahindi nausikiaga sana ila Kila unae muuliza connection uwe uunafanya upembuzi wa tarifaa kabla hujafanyya maamuzi umu umu watu wanataja sana ao wazee wanaotoa ndangu tena kunawengine huwawanataja maeneo kabisa wanakopatikana kama unataka pesa ya hayo mauchafu fanyia uchunguzi vizuri nyanda za juu kusuni
Nimekuelewa chief accountant, naona umekuja kujiteteaHuyi kigogo nae ni wakupuuzwa tu, aliyoandika hapo ukiyapima unaona kabisa havina uwiano.
Hapo msaidizi wa Chief mkuu umenenakatika maisha mwanaume kupata muda wa kufuatilia mwanaume mwenzio anatoa wapi hela nayo siyo tabia nzuri,ilihali hajataka kusema anatoa wapi achana naye focus na mambo yako. Ukijua then?
Kama hakuna mtu ka report jamaa kufanya utapeli au dhuluma mengine yaache aendelee na maisha haijalishi ni anapata kwa njia mbaya au nzuri,maisha yenyewe hayajanyooka haya.
Kama ni kwa njia mbaya itajulikana huko lakini kusema sjui mamlaka waanze kumchunguza mtu anapataje hela ilihali hawajapata alert ya ubaya wowote nayo inakuwa haijakaa sawa.
Kwenye huu ulimwengu ukiweza tafuta pesa kwa njia unayoiona wewe ni sahihi(ambayo inaweza kuwa mbaya kwa wengine) ukawa na amani,haukamatwi we fanya