Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Ukianza kufa wewe utamuonaje mbona unaleta hasira za njaa zako mzee hamna mtu aliekusababishia uamasikini humu walaumu wazazi wako 🤣🤣🤣🤣🤣Nimesema akifa huyo pimbi wenu kilema mtajua kila kitu kinachomuhusu si anafanya Siri subirini afe marehemu hana Siri mwambieni mapema
Tayari kilema mwingine huyu hapa kaingia kwenye mfumoUkianza kufa wewe utamuonaje mbona unaleta hasira za njaa zao mzee hamna mtu aliekusababishia uamasikini humu walaumu wazazi wako 🤣🤣🤣🤣🤣
Kuwa kilema kawaida duniani ilimradi pesa iwepo Sasa wewe huna ukilema ila unazidiwa pesa na kilema mpaka unakua na hasira za kike mpaka unaonekana kituko🤣🤣🤣🤣🤣Tayari kilema mwingine huyu hapa kaingia kwenye mfumo
Kwahiyo ulitaka awe hivyo milele?View attachment 3289356
Huyo hapo.
Masharti yapiYeah Kuna ma don ninaowajua wana pesa za namna hiyo. Tatizo masharti!
Hamna kitu hapo weweMasharti yapi
Wewe kilema km yule kilema mwenzio kule subiri afe utamjua vizuriKuwa kilema kawaida duniani ilimradi pesa iwepo Sasa wewe huna ukilema ila unazidiwa pesa na kilema mpaka unakua na hasira za kike mpaka unaonekana kituko🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekuuliza ukianza kufa wewe utamjuaje mbona hunijibu🤣🤣🤣🤣Wewe kilema km yule kilema mwenzio kule subiri afe utamjua vizuri
We utazikwajeHalafu anapenda kupost akiwaita watu wasio na kitu Wapumbavu. Ana kiburi Cha kufuru huyu jamaa.
Hawa ni wale wa Agano la kuzikwa kichwa chini miguu juu siku ya kufa kwao. Nafsi Iko mikononi mwa mamlaka tayari
Hapo sasa Lol.Haimake sense,ingekuwa hivyo mashog wote wangekuwa matajiri
Aaah kumbe, bas sawaa.Unawaza ushoga tu dogo. Jicho la 3 hajamaanisha ushoga mkuu.
Kijana ni tapeli na hana pesa yoyote anachofanya ni kutafuta trend tu kwani ameona fursa ya kutapeli watu.
Nifahamuvyo huenda kwa watu maarufu na wenye magari makali ambapo huomba apige picha au are kodi na kisha kuweka mtandaoni akisema amenunua. Pia mara nyingi huenda kwenye mahoteli au sehemu zenye ufahari na kurekodi huko ili ajitengeneezee jina na pia kutangaza hizo hoteli.
Wengi wanasema anapesa za ndagu na kafara. Nijuavyo masuala ya Ulimwengu wa Roho jamaa hana influence yoyote ambayo Shetani watampa pesa kiasi hiko. Juyo hana kafara zozote atoazo wala hayupo freemason kwani hana ushawishi kwa watu wowote. Hakuna ufalme wa giza unaotoa pesa kwa mtu asiye maarufu kwani hana influence wala nyota yoyote Pia hana mission yoyote waliyompa.
Kuhusu jicho la 3 yeye ameanzisha group lake telegram na whatsapp ambapo analiita "kufungua jicho la 3" na humu JF kuna mada inayohusu hilo Jicho la tatu. Huko anawapata wajinga kwa kiingilio cha laki 1. Huko.ndio anapata pesa ya kujitangaza zaidi ila ni mtu asiye na mbele wala.nyuma.
Mtu ambaye hana Biashara, kazi wala influence yoyote hawezi kuwa freemason wala hawezi kuwa umuhimu wowote katika ufalme wa giza kwani principle za kiroho zinaanza na "una nini mkononi mwako" kama ambavyo Mungu alimuuliza Mussa "una nini mkononi mwako".
Haya mkuu.Mkuu chamsingi chiefgodlove amekimbia njaa...maisha ni vita..chamsingi matokeo tu
Soma chini nimeweka screenshotAlisemaje mkuu?
HapanaKwa kipi alichonacho special ili apate pesa hivyo za ndangu? Unajua chochote kuhusu ulimwengu wa Roho na namna hiyo mikataba ilivyo mkuu?
Mpaka zinakuuma ase pole 😂Huyu dogo ni kisanga...
Hata kama ni za majoka aisee..
Pesa nyingi mnoo
Hakuna joka linalompa mtu pesa bila kuwa na lolote la maana. Joka hutoa pesa kwa mtu mwenye kitu afanyacho. Huna biashara, huna kazi, hujihusishi na kitu chochote kitakakachokuingizia pesa(start up capital) Huna influence yoyote Tanzania wala duniani then hiyo pesa anakupa ya nini?Huyu dogo ni kisanga...
Hata kama ni za majoka aisee..
Pesa nyingi mnoo
Weka ushahidi wa mtu alietapeliwa hapaHakuna joka linalompa mtu pesa bila kuwa na lolote la maana. Joka hutoa pesa kwa mtu mwenye kitu afanyacho. Huna biashara, huna kazi, hujihusishi na kitu chochote kitakakachokuingizia pesa(start up capital) Huna influence yoyote Tanzania wala duniani then hiyo pesa anakupa ya nini?
Yule ni tapeli tu anawatapeli maboya.