zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Ni kweli inaweza kutuliza lakini je ndio suluhisho la milele?? Kwani diplomasia isingesaidia??Lakini kwa hayo mauaji ya Mwembechai yalituliza mambo lakini, maana hali kama hiyo haijawahi kujitokeza tena, ama?
Kuna mahali nimezungumzia "Chama Kikuu"? Pumbavu!Umeandika kishabiki sana. Mwaka 1998 chama kikuu cha upinzani unakifahamu? Kawaulize akina Maalim na Hamad Rashid na kesi zao za uhaini
Matusi ya nini sasa?Kuna
Kuna mahali nimezungumzia "Chama Kikuu"? Pumbavu!
kichaa anaelewa lugha ya kichaa mwenzie tu.Ukimya wao sio sababu ya uoga wa kuuawa kama mwembechai..... Huwezi jua next time wakaja kwa style gani kujibu mapigo!! Yataweza jitokeza ya kibiti ama Al Shabaab unafikiri utapata kiburi cha kuja kuwakejeli humu??
Violence sio suluhisho zaidi imeongeza chuki na visasi siku watu wakisema inatosha kama wahutu 1957 ama walendu 2000 huko DRC basi hutopata hata wasaa wakuandika humu JF
Time will tell!
Kaangalie kwenye kamusi maana yake.Matusi ya nini sasa?
sijui haswa chanzo kilikuaje na ni hatua gani serikali ilitumia zikashindikana hadi kuplelekea nguvu, ila kuna mdau kaelezea hapo juu kuwa polisi walitaka kuwatawanya kwa mabomu ila wakawajibu kwa kuwashabulia na mawe na silaha nyingine, so hapo polisi ikabidi tu wawatumie ujumbe kuwa tukitumia silaha hamtatuweza,Ni kweli inaweza kutuliza lakini je ndio suluhisho la milele?? Kwani diplomasia isingesaidia??
Mfano zanzibar 2000 walizima hasira za CUF kwa risasi na mabomu ila je lilikuwa suluhisho?? Lakini Kufikia 2010 kulianzishwa serikali ya umoja wa kitaifa na ndio kwa mara ya kwanza uchaguzi ukawa wa amani kule visiwani
Nachosema violence iwe option ya mwisho baada ya diplomasia kufeli, kulikuwa hakuna haja ya kupiga risasi raia wasio na silaha. Wangejaribu kufanyia kazi malalamiko yao taratibu hasira zingeisha tu with time.
Leo hii Kenya kuna mjaluo anamchukia mkikuyu baada ya handshake ya Odinga??
kama ulishawahi kuwa kiongozi wa taasisi yoyote kubwa ungejua kuwa diplomasia haifanyia kazi sehemu nyingine, kuna watu wengine huwezi ku reason nao, maana demand vitu vya kipuuzi sana halafu wanatumia vurugu na kuchochea ummaUkimya wao sio sababu ya uoga wa kuuawa kama mwembechai..... Huwezi jua next time wakaja kwa style gani kujibu mapigo!! Yataweza jitokeza ya kibiti ama Al Shabaab unafikiri utapata kiburi cha kuja kuwakejeli humu??
Violence sio suluhisho zaidi imeongeza chuki na visasi siku watu wakisema inatosha kama wahutu 1957 ama walendu 2000 huko DRC basi hutopata hata wasaa wakuandika humu JF
Time will tell!
Download at your own risk[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nashindwa kudownload boss
Paschal,
Prof. Hamza Njozi ameeleza kila kitu kuhusu mauaji ya Mwembechai katika kitabu chake "Mwembechai Killings..." (2002).
Kitabu kimepigwa marufuku lakini unaweza kukisoma chote pdf mtandaoni.
Ukipenda unaweza kuingia hapo chini kusoma taarifa nyingine kuhusu tukio lile:
KISA CHA ZAHAKI RASHID: KUTOKA MAUAJI YA MWEMBECHAI 1998 HADI MAUAJI YA STAKISHARI 2015
Zahaki Rashidi Ndugu msomaji, Ili uweze kufaidikia na kisa cha Zahaki Rashid ni muhimu kwanza usome mwanzo wa matatizo yake mw...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Mkuu issue sio majority hata wakristo wakiwa 99% na waislam 1% hasira ya mtu inaweza fanya hao 1% wawe na force ya kueleweka.Kumbuka watutsi walikuwa 14% pekee ila waliweza kuwapindua wahutu both Burundi na Rwanda ambako walikua na overwhelming majority ya 85%+ .kichaa anaelewa lugha ya kichaa mwenzie tu.
kama toka mwanzo huoni muafaka katika mazungumzo,basi wewe hufai kuachwa mzima.
hata kama mtaamua kujibu yale kwa serikali yenu,elewa hamtaweza kuwadhibiti 100% na wakristo ambao mnaamini ni maadui zenu,vipi wakiamua kudeal nanyinyi ana kwa ana???
unajua antbaraka waliwapa ndugu zao elimu gani?
Kuna mdau alinipa bado nakipitia.Mbona mie nimeweza aiseeee simple tu
Nitext whatsapp nikupe
Ze...Mzigo upo nusu huu haujaisha wote
UHURU JR,Aisee ilikuwa balaa maana mtu anarusha jiwe yeye anarushiwa risasi na majibizano yanaishia hapo,inaonesha Askari walikuwa na fikra za wanaopambana nao ni magaidi na ndiyo maana haikuwa shida kwao.
Akhy mbona nashindwa kuingia ktk web yako?UHURU JR,
Kuna link nimeweka hapo Afisa wa Polisi Zahaki anaeleza kwa nini ilikuwa hivyo.
Ifungue usome.
Hahahahahahahahahahaah Ajuza acha utani wewe na karate wapi na wapi hahahahaahh daaah
Huyo ni mfia dini hata andiko lake lilikuwa la kuvutia upande wake hivyo hakuna ukweli hapo!!!!.Sio tuu nilikuwa nafanyia kazi DTV, I was the reporter in a line of fire. Kwa vile Mkuu Maalim Mohammed Said yeye ameandika hii kitu kwa urefu, tumtumie yeye.
P
Huo sasa ni uongo uliopitiliza Kanisa na Karate wapi na wapi???Hushangai kuwa hata kanisani wanafundiaha karate unashangaa mimi kujifunza karate?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza!