Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

Halafu Pengo alipouzwa anasemaje kuhusu mauaji ya Mwembechai akajibu acha wauawe tu, tangu nilivyomsikia akijibu hivyo huyu Mzee nilimtoa thamani. Napenda Sana kusikiliza mahubiri ya dini zote lakini nikimkuta Pengo nabadilisha au nazima kabisa
Kwani usipomsikiliza anapata madhara gani?
 
Aroon,
Ukitaka uchangie vyema ungekisoma kitabu ukajua Prof. Njozi amesema kitu gani labda ungeelewa na sababu kwa nini serikali ikakipiga marufuku.

Kuchangia kitu ambacho hukijui si busara.

Hiki kitabu kipo hapa mtandaoni pdf.
nimejaribu kufata link uliyosema simu yangu almanusra ilipuke. kirusi.
 
Acha Ujinga, Taifa gani alilojenga? na udogo wa Taifa la Nigeria ni nini?
Wewe ndio mjinga usiyeelewa maana ya utaifa, usiyeelewa maana ya watu kuwa kitu kimoja.

Unaingia kwenye basi Mbeya vijijini na abiria wote wanaongea lugha moja, unaingia kwenye basi Lushoto na abiria wote wanaongea lugha moja, huo maana yake ni umoja na ndio utaifa wenyewe.

Wanigeria wanatanguliza makabila yao hata wakikutana Ulaya. Huyu ni myoruba mwenzangu, yule ni muigbo mwenzangu, yule ni mhausa hastahili kuwa pamoja na sisi wayoruba, hapo hakuna utaifa kuna kusanyiko la watu wanaojitambulisha kupitia bendera na eneo linaloitwa nchi.
 

Je Nigeria wapo wapi nasie tupo wapi? huo utaifa wetu umetusaidia nini? Nchi imejaa mafukara na wajinga. na hayo ndio matunda halisi ya Mwalimu Nyerere
 
Je Nigeria wapo wapi nasie tupo wapi? huo utaifa wetu umetusaidia nini? Nchi imejaa mafukara na wajinga. na hayo ndio matunda halisi ya Mwalimu Nyerere
Nigeria pamoja na utajiri wa mafuta pia walikuwa na vita vya Biafra, migogoro ya kidini isiyokwisha kati ya waislamu na wakristo, mapigano ya kikabila, rushwa na ufisadi wa kutisha,mzozo Niger delta na siku hizi wana bokoharam hayo ndio matunda ya kuwa nchi na sio taifa.
 

Kinchoifanya Tanzania kuwa mpaka leo hakujafumka vurugu nikua wananchi walio wengi kuwa ni waoga tu. Ila kuna kila sababu za machafuko.
 
Je Nigeria wapo wapi nasie tupo wapi? huo utaifa wetu umetusaidia nini? Nchi imejaa mafukara na wajinga. na hayo ndio matunda halisi ya Mwalimu Nyerere
Hata huko Nigeria maskini ni wengi kuliko hapa kwetu, wale wapo milioni 180 na zaidi, wenye hali njem tuseme wapo milioni 35, hao waliobakia ni choka mbaya.

Naongele utaifa kuwa ni mtaji wa maendeleo, isingekuwa kazi rahisi kwa Mwalimu Nyerere kufanya kazi ya kutafuta uhuru na hapo hapo atafute maendeleo ya kiuchumi.

Kumbuka kuwa wasomi wengi wamekuja kupatikana kuanzia awamu ya pili na kuendelea.

Kazi ya kukuza uchumi nia ya kina JPM na marais wa kizazi chake, wao wana kila kitu cha kuchangia katika upatikanaji wa maendeleo ya kiuchumi.
 
Mkuu Proved, nahisi baadhi ya wanaoshiriki kuuchangia mawazo uzi huu ni mabwana wadogo wa miaka ya kuanzia 1990 kuja miaka ya karibuni, hawawezi kuuelewa mchango wa Mwalimu Nyerere katika usimamiaji wa utaifa, wamezaliwa na kukuta kila kitu kipo kama kilivyo.

Ukishakuwa huna utaifa ni rahisi kwa nchi kuwa na maasi ambayo chanzo chake ni siasa hizo hizo za ndani. Mabwana wadogo hawaelewi maanaa ya rais JPM kuambatana na viongozi wa dini, wanadhani ni mapambo kumbe ndio usimamiaji wenyewe wa utaifa.
 

50 years baada ya uhuru ndio kwanza sasa kuanze kazi ya kukuza uchumi?
 
Marekani wana miaka 242 ya uhuru wao, wewe unaishangaa hii miaka 50 ya kwetu!!.

Walishaendelea zamani tu hao U.S, Mwalimu alitawala 20 years ukitoa miaka 7 ya kugomebea uhuru. Na alishindwa kuleta maendeleo ya aina yoyote ndani ya nchi.
 
Walishaendelea zamani tu hao U.S, Mwalimu alitawala 20 years ukitoa miaka 7 ya kugomebea uhuru. Na alishindwa kuleta maendeleo ya aina yoyote ndani ya nchi.
Usingetegemea katika hali ya ufukara wa miaka ile Mwalimu aweze kuleta maendeleo ya kuonekana. Halikuwa ni jukumu lake la moja kwa moja la kuleta maendeleo, aliacha viwanda vingi tu, sisi tulioachiwa tulifanya nini katika kuviendeleza?.

Mwalimu aliacha msingi wa elimu bora, hawa wasomi wanaoelekea kustaafu ni matunda ya msingi huo.

Tulipoteza muelekeo hapo katikati baada ya Mwalimu kuwa keshaondoka pale Magogoni, cha muhimu sio kumnyooshea kidole mtu ambaye yupo kaburini huu mwaka wa 20, bali ni kutazama tunatokaje hapa tulipo.
 
Hivi huwa mnapotosha kwa faida ya nani?? Ponda si ndio aliongoza maandamano kwenda kudai viwanja vilivyoporwa na Manji?? Ponda si aliongoza maandamano makubwa kupinga alichoita ubaguzi NECTA?? Au ni Ponda yupi anayeogopa maandamano?? Msidhani kila mtu ni coward kama wewe.
 

Sasa mbona sheikh Ponda hakuuawa kama walirudi wakawa wanapiga risasi kiumbe chochote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…