Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Sasa mwanga wa jua plus refrection ya iyo camera nd una sema uchawi ..moshi nao auja oneshwa ulipo tokea maana video ime onesha juuu juu tu...


Inshort i mada ni moja ya Pumba nilizo jutia kuzi soma mwaka 2019
Umesikiliza na audio ? Mkuu mwenyewe anataja neno moshi humo.
 
Alisema atawapiga mashangazi wao!
 
Bunduki hazikusaidia kumlinda? Au wale wachawi wa Gamboshi hawakuwepo?
Maandiko yanasema hivi, Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kufanya kuwa Kinga yake. Siku zao wasio haki Bwana atazifupisha. Mungu si mwanadamu hata aseme uongo. Mfalume Belishaza kule mjini Babeli aliona Maandiko ya ajabu ukutani akashindwa kuyasoma akalia akaagiza waletwe waganga na wachawi waje kuyasoma hawakuweza. Ndipo mtumishi wa Mungu Danieli akaitwa na kwa msaada Mungu akayasoma. Maandiko yenyewe ni haya hapa.
MENE MENE TEKELI NA PELESI.

Maana yake maneno hayo ni hivi

MENE= Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.

TEKELI= Umepimw ktk mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PELESI= Ufalme wako umegawanyika.

Danieli 5-1-25
 
Bashite alikuwa busy alisahau tarehe aliyopangiwa
 
Si NIMESIKIA ana kitu kwenye moyo halafu amehutubia chini ya nyama za umeme wa voltage kubwa watatuambia wamemfanyaje rais wetu
Una maanisha hii hapa!!
 

Attachments

  • Screenshot_20191018-233604_Chrome.jpg
    26.5 KB · Views: 9
Vp wewe Ume sikiliza..kuna kitu kilicho toa moshi akija oneshwa kwenye video .. mkuu mwenyewe akiri zake si uwa ana muachia body guard wake akipanda jukwaani
Umesikiliza na audio ? Mkuu mwenyewe anataja neno moshi humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…