Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

Je hizo takwimu (kabla ya kuzichambua), jiulize: je ni asilimia ngapi ya watu wote wamefikiwa na huduma bora ya upimaji?

Kwa jamii za kijima si vyema kujivunia takwimu ndogo. Kama unaishi miji mikubwa nchi hii, siku ukifika baadhi ya vijiji unaweza sema, je watu wanawezaje kuishi maeneo haya? (Kuna post humu kuelezea maeneo chocho
 
Pisi za kizansi ni za moto hatari , hata wewe unaweza upata tu huo ukimwi na usiwaze ikikunasa moja wapo.
Hili ndilo jibu sahihi; na mjadala unaweza kuishia hapa. Inasemekana hakuna wanawake wenye matako makubwa kuzidi Waxhosa na Wazulu; na maumbo yao ni yale namba nane. Ukijumlisha na majira ya baridi, na tabia ya Waafrika kupenda ngono; na serikali yao kutojali unategemea nini?

 
Cooked data bado hoja yako haina mashiko SA tunawazidi kwa idadi nani kakwambia huku hawapo hao gays au kila unaepishana nae kavaa dela kijola unajua ni mwanamke?
 
Noma sana mkuu, hao watoto ni fimbo hatari halafu wapo natural, ngozi Zao maumbo yao na wapo sex mda wote lazima unase.
 
Walifanya HIV/AIDS denialism, yaani ugonjwa ulivyokuja viongozi wa mda huo waliupuuzia na kuignore ndo maafa yakawa mengi.. ni kama Leo hii uje ugonjwa hatari afu serikali iseme haupo au isichukue tahadhari.. matokeo yake ndo mpaka Leo effect yake inaonekana. I think ni wakati wa Mbeki kama nakosea cheki Wikipedia page "HIV/AIDS denialism"
 
Mtaji kule watoto wakike ni nyash si mchezo aisee
 
Huwaga bongo watu wanapenda sana kujazana hofu hata kama sio kweli.

Yaaani mtu anatwakwimu zake za kijiweni anataka kuhamishia katika uhalisia

Kuna mmoja aliwahi andika kuwa wanafunzi 18,000 wa chuo cha Udsm wamekutwa na HIV daah nilichoka kwasababu kwa wanafunzi wote waioko chuoni ni kati ya 25,000 mpaka 35,000. Ina maana kuwa zaidi ya nusu ya wanafunzi wanayo HIV.. Nilivyombana aseme twakimu katoa wapi anakuja na vitisho hoo we gusa watoto wa udsm ufe..
 
ukikubali ugonjwa upo maana yake serikali iache mipango yake na ianze kupeleka ela uko jambo ambalo hakuna serikali inapenda. ilitokea amerika wkt HIV inaanza apa bongo wkt wa magu na korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…