Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Cooked data? Una way ya kolu prove ? Unadata zinazo kinzana?Cooked data bado hoja yako haina mashiko SA tunawazidi kwa idadi nani kakwambia huku hawapo hao gays au kila unaepishana nae kavaa dela kijola unajua ni mwanamke?
Kuna kipindi South Africa yeye peke yake ilikuwa na zaidi ya 10% ya wenye UKIMWI dunia nzima.Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Mmebweteka Kwavile mlikuwa mnapata dawa bure!! Sasa mtanyooka Trump hataki ingest wenu tena amewakatia misaada.Yaan watatuzidi vingine ila sio kwenye hilo jambo takwimu zetu zipo juu
Poverty significantly exacerbates the spread of HIV/AIDS by creating conditions that increase vulnerability and risky behaviors, including migration for work, sex work for survival, and a lack of resources for prevention and treatment. Hii ni conspiracy theory, beberu anataka Afrika kusiwe na majanga ya magonjwa kwa sababu wanahitaji wawepo Africa kwa ajili ya resources, Africa ni new frontier ya kiuchumi kwa wazungu na wachina.Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Mkuu hakuna anaye pewa ARV Tanzania bila kupimwa.Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Hizi no tetesi za uzushi tu.Za ndaani kbsa ni kuwa kipindi cha Apartheid,weusi walipigwa sana sindano za mdudu,ndio maana takwimu hizo ziko kwa waafrika weusi tu,wazungu wenye mdudu ni negligbly small au hakuna
Magovi vipi wakati wasouth wana culture ya kutahiri bila ganzi kama wamasai tokea enzi na enziHalafu ni magovi.
Jinga hilo, ni wa kumpuuza tu.Cooked data? Una way ya kolu prove ? Unadata zinazo kinzana?
Make no mistake WHO,south africa National department of heatlh, CDC,UNAIDS? Unaita cooked
Data zimekuwa zikifanyiwa kazi tokea 1980s na amshirika tofauti yet wewe unakinzana nazo?, unadata zinazo kinzana au una empty words?
Aisee kumbe huko joburg capetown kutanifaa mieHalafu iwe shule, ofisini , kanisani club wao wapo sex tu mda wote
Mno mkuuAisee kumbe huko joburg capetown kutanifaa mie
Na wana nyash hao na mipaja.Mno mkuu
Mangi huko Kwa Madiba Ndomu hamna?South kuna wanawake warembo hakuna mfano halafu hata kukataa hawajuagi
Zipo mkuuMangi huko Kwa Madiba Ndomu hamna?