Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

Hukusoma hata facts kumi nilizoorodhesha hapo juu zinazothibitisha kuwa huna faida katika Taifa hili?
Nimezisoma ila pamoja na yote wewe mwenye faida andamana bro! Tusiendelee kuwa watu wa kulalamika na kupingana wenyewe kwa wenyewe, rational decision kwa hali ilipofikia si mumeona fujo ndio suluhu...? Kama jibu ni ndio nahitaji kukuona uko barabarani na sio kuendelea kulalamika nyuma ya keyboard watu wenye uchungu na katiba mpya kama wewe na mnaoitaka kwa heri ama kwa shari kama asemavyo mbeligiji wenu Lissu basi atue bongo na wewe utoe mkeo na wanao katika tarehe atakayowapa mkadai kwa nguvu katiba! Nadhani tutakuwa tumeelewana bro!
 
Katiba bora itakapoundwa hakuna mtu hatanufaika, hata wewe na familia yako mtanufaika simama kama mwanaume/mwanamke tetea katiba mpya kwa manufaa ya kizazi chako.

Ondoka zama za ujinga. Katiba bora itatupa sera nzuri zitakazolinda rasilimali zetu, kutengeneza ajira, matumizi mazuri ya rasilimali kwa manufaa ya wote, uchumi kukua na kuimarisha maisha ya watanzania.

Katiba mpya ni sasa acha uoga hata kwenye kupaza sauti na kutoa hoja safi.

Uoga wa watanzania ni wa ujinga na hiyo siyo dhambi, dhambi ni wale wenye uoga wa kipumbav jitafakari uko wapi?

Maana hofu ya mjinga ni kwa kuwa hana elimu ila hofu ya mpumbav ni uendawazimu maana elimu anayo ila ana hofu ya tumbo.

Hakuna watu wenye hofu ya tumbo waliowahi kuleta maendeleo wala mabadiliko.

Mwaka fulani Nyerere aliambiwa achague ualimu (tumbo) ama ukombozi (kupigania uhuru)

kama ungelikuwa wewe huenda ungelichagua tumbo.
Pumbav!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ila hii nchi in a matatizo sana tena mno, jambo/mambo ya msingi na maana, yanajadiliwa kimasikhara na kubezwa, duuuuh.
JAH awe nasi kwa kweli lol.
Matatizo ni hiki ulichofanya hapa! Hili ndio tatizo kuu na muarubaini wake ni wewe kuungana na wananchi wengine wenye uchungu na katiba mpya ili muweze kuandamana kuelekea magogoni kwa mama Samia maana haki haiombwi inadaiwa kinguvu bila kujali lolote!
 
Unawezaje kutetea ujinga kama huu mtu ambae una akili timamu?Uvunjaji wa wazi kabisa wa katiba!How possible on earth?!
 
Katika Taifa mashujaa huwa ni wachache na ndio maana kuna majina ambayo yako common unayasikiaga deile katika historia ya taifa wala sio kikundi cha watu!

Sykes,Nyerere,Kawawa hawa ni wachache tu ambao wamebeba gurudumu la ushujaa katika nchi hii hivyo sio mbaya katika kizazi cha leo tukapata watu kama hao kupitia wewe na familia yako. Maana tuliondolewa kwenye ukoloni na hao mashujaa!

Wewe na familia yako pambana ili utuokoe na sisi kwenye hili la katiba ya zamani utabarikiwa sana na kuenziwa kama shujaa
 
Braza mie siwezi kuhangaika na hilo maana mpaka sasa hio katiba yenu iliyopo hainilishi wala kuniwekea hela benki ila ni kupitia mapambano yangu binafsi ndio napata kula!

Sasa ukiniletea story za kuchagua kazi na kuhangaika na hio katiba ambayo hanipi relief yeyote personally naona unajichosha tu! Tatizo ni usimamizi wa katiba sio katiba mpya ila kama utabisha juu ya hili andamana mzee kama nilivyoshauri.
 
Mkuu nimekuwa nikisoma sana misimamo yako kuhusu mambo mbalimbali hapa JF. Mengi nakubalina na wewe lakini hili la siasa za serikali vs upinzani nasema huwa unakosea sana. Wewe bado uko kwenye zile karne za watawala kupaswa kuonekana kama mungu-watu, wanaopaswa kubembelezwa, kunyenyekewa ili watoe haki na usipofanya hivyo wana haki ya kukufanya chochote! Hii ni misimamo potofu kabisa na haina nafasi kwenye dunia ya leo. Nadhani watanzania wengi hatujapata elimu sahihi (tulisoma kwa kukariri) na mbaya zaidi hatuna exposure ya kutosha iwe kwa kutembea au hata virtual exposure inayoweza kupatikana kwa kusoma vitabu. Hili linatufanya tuone serikali ni dude linalotakiwa kuheshimiwa sana na ukileta fyoko ni haki ufyekelewe mbali. Kitu ambacho wengi hawajui ni kuwa hizi nafasi za kisiasa ni utumishi kwa umma, na kiongozi ndiye anayetakiwa kunyenyekea wananchi na siyo kinyume. Hata ukiwa rais, unakuwa rais wa wananchi wote. Wapo vichaa, wapo wenye lugha kali, wapo waoga, wapo wajinga, wapo watu wa tabia na haiba tofauti tofauti. Kama unahisi mwananchi amekosea, sheria na mahakama zipo, zitowe haki na siyo kutishana.
BTW: Kuna mambo umeandika hapa yamenisikitisha sana kwa sababu yameteremsha hadhi yako hapa JF.
Kweli unasema uko tayari kushiriki kudai kwa katiba kwa kuahidiwa sh milioni tano kila mwanzo wa wa mwaka wa serikali? Unaendelea kusema kuwa kudai katiba mpya ni kuwaingiza kina Mbowe Ikulu? Come on dear, you can do better. Yaani unadhani watu wanadai katiba mpya kwa sababu wanataka kina Mbowe waingie Ikulu? Katiba haidai kwa sababu ya faida ya kina Mbowe ila ni kwa sababu ya faida ya watanzania wote.
 
Mwanzilishi wa haya yote ni yule kipenzi cha moyo wako, mzalendo kweli kweli, mtetezi wa wanyonge. Hao wengine wanaendeleza legacy tu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
CCM JAZA TUMBO' na CCM limbukeni wanatuharibia sana nchi.
 
Kwa hiyo unachekea uvunjaji wa wazi kabisa wa katiba?Nikikuita kuwa wewe ni mbumbumbu nitakuwa nimekuonea?!
Mi swezi kataa mkuu una uhuru wa kuongea!
Wewe fanya ambalo Mbowe na Lissu watawaagiza.
 
Uzuri ni kuwa uko dunia ya kwanza mkuu, hata ukichora picha ya bidden yupo chooni anakunya wewe bado utalindwa na kifungu cha “uhuru wa raia kufanya anachojiskia” ila treatment ya hiko kitendo katika dunia ya tatu iko tofauti mno! Hivyo kumsihi huyo mdude ajiheshimu ni kwa faida yake na wanaomtegemea!

Kwa mawazo yako hapo marekani upo sahihi kutushangaa ila aplikeshen yake kwa bongo sie ni mashahidi wa kesi za aina hio na hukumu zake! Mwizi wa billion 3 ana unafuu kuliko mwizi wa kuku wa Tsh.6000/=!!!

Mashujaa wa kuingia barabarani kufanya fujo huenda ndio wakawa wakombozi wa hili hivyo tunawasihi wasiishie kwenye keyboard za simu tu wakakiwashe road ambako bila shaka kutakuwa na uwepo wa FFU wakifanya majukumu yao!
 
Mi swezi kataa mkuu una uhuru wa kuongea!
Wewe fanya ambalo Mbowe na Lissu watawaagiza.
Suala la katiba na sheria za nchi siyo suala la Mbowe wala Lissu wala Samia wala CCM wala Chadema.Suala la katiba ya nchi ni suala la wananchi.Ni suala la wananchi kwa sababu linagusa yale masuala ya msingi kabisa ya watu kama vile haki ya kuishi na kadhalika.Unahitaji kuwa na PhD ili kuyajua mambo madogo kama haya?
 
Wapumbav kama wewe hata enzi za Nyerere na uhuru walikuwepo

Na wakidiriki hata kumtemea mate kasome historia.

Lakini kamwe hakukata tamaaa na alishinda

Hata rumi ilianguka kwa mawazo ya kipumbav kama haya yako

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Fadhila za Mama, ni zao la asiyefuata Katiba, ana Bunge lililoingia kwa kutonanii sheria,
 
Hapo ndio ujue Chadema mko peke yenu.

Laiti kama kweli wananchi wangekuwa wanaihitaji katiba mpya iwe mvua, liwe jua ingekuwa imeshapatikana.
Yaani mtu mmoja mjinga kuchekea uvunjaji wa wazi wa katiba basi inathibitisha kuwa wananchi wa Tanzania nzima hawako tayari na mambo ya katiba mpya?!WTF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…