Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mizaha hii unategemea lolote?Ameuchuna 😭
Wahi mirembeMimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana
Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena
Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena
Niliogopa vibaya
Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
Kwa nini hamnaga natajiri waliobobea kwe ye dini ? Hawapendi pesa au hawaziombi ?Sala yake ni nzuri na unajibiwa kwa wakati
Nmejibu comment kama ilivyokujakwa mizaha hii unategemea lolote?
Kuombewa na Watakatifu ni imani ya Wakatoliki, kama vile kuombewa na wachungaji, mitume na manabii kwa Waprotestanti. Kila mtu abaki na imani yake, kila mtu aombewe na anayemuamini 😂😂😂asa ushindwe kuomba direct Kwa Mungu unaomba Kwa Rita hii imekaaje asee? Mimi naomba Kwa Mungu direct. Kila mtu na Mungu wake na Imani yake
Pengine hata sala zenyewe huzitekelezi. Acha watu wafanye kadiri ya mafundisho ya imani zao, wapo ambao zinawasaidia.MTAKATIFU NI MUNGU PEKE YAKE
Hao wengine ni Vibaka kama Vibaka wengine,ni mtu mpumbavu pekee anayemuona mwanadamu mwenzie Kuwa mtakatifu!
Uzuri wakatoliki hatunaga muda wa kubishana au kuutetea ukatoliki.MTAKATIFU NI MUNGU PEKE YAKE
Hao wengine ni Vibaka kama Vibaka wengine,ni mtu mpumbavu pekee anayemuona mwanadamu mwenzie Kuwa mtakatifu!
Kwa hiyo ulifukuzwa kazi?Kuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
1Pet 1:15-16MTAKATIFU NI MUNGU PEKE YAKE
Hao wengine ni Vibaka kama Vibaka wengine,ni mtu mpumbavu pekee anayemuona mwanadamu mwenzie Kuwa mtakatifu!
Ishi maisha ya toba kila siku hii ndio sifa ya kuwa mtakatifu na mwenye hakiHahaha Acheni haya mambo, Yesu mwenyewe alisema 'Alikuja kwa ajili ya wenye dhambi" sasa ikiwa Novena ni kwa wasafi, mbona unapoteza ladha ya kusali na Kuomba.
Tuna sali kwa kuamini sisi ni binadamu na siyo wakamilifu, tunatenda dhambi za kila aina, na kumbuka hakuna palipoandikwa au kusema kuangalia makalio facebook ni dhambi, ile ni burudani kama mwingine apendavyo beer, au kuangalia mpira. sasa walokole kila msicho kitaka nidhambi.
Tusihukumiane, tuache jukumu la hukumu libaki kwa Mungu, mimi na wewe hatujui ya rohoni/moyoni wala akilini, tunaona yaonekanayo kwa macho tu.
Umejibiwa nini?Sala yake ni nzuri na unajibiwa kwa wakati
Ukiishi kwa kurejea biblia au vitabu wewe ni juha1Pet 1:15-16
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Sawa, ngoja nisikie rejea za Sharifu majini na Mazinge, maana nao wameanza kuuza maji na mafuta ya upakoUkiishi kwa kurejea biblia au vitabu wewe ni juha
Ndio ndio mkuuKwa hiyo ulifukuzwa kazi?
Maombi yote yanajibiwa kwa wakati sio lazima yawe ya PesaKwa nini hamnaga natajiri waliobobea kwe ye dini ? Hawapendi pesa au hawaziombi ?