Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

πŸ˜‚ πŸ˜‚ we jamaa bwana Dah, so wakina mdude wamekimbia
πŸ˜‚ πŸ˜‚ we jamaa bwana Dah, so wakina mdude wamekimbia
Hawaonekana popote pale walipo wakati walisema hawaogopi chochote kile.lakini cha ajabu wamebaki wapenzi watazamaji kutoka mafichoni kusikojulikana .wahuni ni wahuni tu na usije ukasubutu kumwamini mhuni kama Mdude utakuja kujuta maisha yako yote,maana hawachelewi kukuuza na kukuchuuza mchana kweupeeee .
 
Haya,umeshinda sasa

Ova
 
Wapemba waliandamana. Helikopta zilitoka Dar kwenda kuwatwanga risasi.
 
Weya izi Mwabukusi a.k.a BAK?
 
Mdude Nyagali ametoa Taarifa Kwamba maandamano yao yalizuiwa na Polisi hivyo wako Mahakamani kutafuta Haki

Swali langu kwa Mdude na Mwabukusi ni Hili:

Kwanini hamkuwatangazia Wananchi Kwamba maandamano hayatakuwepo hadi pale mtakapowatangazia tena?

Mlitaka Wananchi waingie barabarani wakakutane na Moto wa Polisi?

Hii Tabia siyo poa mtawaponza watu bure

Jumaa kareem πŸ˜€
 
Kwa Sasa maandamano nchi hii yatafanyika thread ,space,fb,jf, TikTok nk
 
Mdude na wenzake wangetumia muda huo kujiangalia wao kuliko kutetea watanzania wasiojitambua
 
Nchi hii maandamano ni mawili tu
1. Ku support namna mama anavyoupinga mwingi
2. Maandano ya kwenda kwenye mazishi.
 
Mdude na wenzake wangetumia muda huo kujiangalia wao kuliko kutetea watanzania wasiojitambua
Ni kweli, CCM wanatamba sababu kundi kubwa la watanzania bado hawajitambui na huu ndiyo mtaji wao pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…