Hakuna utamaduni wa kuruhusu watoto watumie pombe wakiwa wadogo.Ni utamaduni wa kawaida kabisa ukishapata kipaira au komunyo kugida mbege kawaida
Ukawa msimamizi mkuu wa mirathi ausio.Wakati mwingine Mungu anakupa kibali tu, Mimi nilipata kibali kwa wazazi wote wawili, lakini sikuyachukulia poa mapenzi ya wazazi wangu.
Mwanzoni nilimuona Baba ananipenda na kuniamini japo sikujua sababu, Siku moja kulikuwa na kikao nyumbani na Mimi sikuwepo na hawakutilia maanani kuwa sipo, katikati ya kikao wakagundua kuwa sikuwepo, nikatafutwa kwa marafiki zangu jirani, nikapatikana kikao kikaendelea, Mchango nilioutoa kwenye hicho kikao kilimfanya mzee aende kubadili makaratasi yake ya urithi.
Ni kweli ila tembea uone , sisi mama alikua akitaka kwenda shamba na hatutaki kulala tunapigwa mbege , nusu saa tu unakuta tumezima woteHakuna utamaduni wa kuruhusu watoto watumie pombe wakiwa wadogo.
Hayo ni malezi mabovu
ukiwa hivyo ni kwamba uaminifu wao kwako ndo hautokuwepo ila kukupenda ni ishu nyingine kabisa haiangalii hivyo vitu..Hauwezi kuwa mlevi,mraibu wa drugs,kichaa,mwizi, halafu wazazi wakupende never
Mimi ni mhanga wa jambo hilo na mpaka leo limeniathiri kisaikolojia.Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine.
Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia njema na uchumi mzuri.
Nisimalize yote nadhani na nyie mna mengi na mifano mingi zaidi ya kueleza.
Wewe ni mtoto wa kwanza? Au mtoto wa kiume wa kwanza?Mimi ni mlevi na mama yangu ananipenda kuliko watoto wake wengine 7 hata wao wanajua
Mtoto watatu kutoka mwisho kati ya watoto 8 sio mtoto wa kwanza wa kiumeWewe ni mtoto wa kwanza? Au mtoto wa kiume wa kwanza?
Upendo wa mzazi hauambatani na vitu au mwonekano au tabia, ni pure love.Kuna mtoto watu wanapata baada ya kuangahika sana, wengine kipindi kigumu n.kKuna hao lakini kuna wengine unakuta hawana hivyo labda ni kijana mlevi, mwizi anapendwa kuliko wengine hujaona hiyo.
Kuna Mzee mmoja aliwahi kuniambia kwamba, kama unavyoona koo zilizopo katika namna yakuonekana ila pia upande wa pili wa shilingi huwa kuna Koo pia, kwahiyo kuna watu wanatoka kundi moja la mfumo nyota na licha ya kwamba wanatoka kwenye kundi moja ila huwa kunakuaga na utofauti wa ukuu kulingana na eneo frequency za mtu na mtu zilipo.Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine.
Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia njema na uchumi mzuri.
Nisimalize yote nadhani na nyie mna mengi na mifano mingi zaidi ya kueleza.
Vipi mkuu ulitoa pumba za mchele? 😄Wakati mwingine Mungu anakupa kibali tu, Mimi nilipata kibali kwa wazazi wote wawili, lakini sikuyachukulia poa mapenzi ya wazazi wangu.
Mwanzoni nilimuona Baba ananipenda na kuniamini japo sikujua sababu, Siku moja kulikuwa na kikao nyumbani na Mimi sikuwepo na hawakutilia maanani kuwa sipo, katikati ya kikao wakagundua kuwa sikuwepo, nikatafutwa kwa marafiki zangu jirani, nikapatikana kikao kikaendelea, Mchango nilioutoa kwenye hicho kikao kilimfanya mzee aende kubadili makaratasi yake ya urithi.
Yeah hii naona inakuja automatically.Upendo wa mzazi hauambatani na vitu au mwonekano au tabia, ni pure love.Kuna mtoto watu wanapata baada ya kuangahika sana, wengine kipindi kigumu n.k
Kaka yako ni first born au mtoto wa kwanza wa kiume? Vipi kwasasa ule upendo wa mama kwa bro bado upo?Mimi ni mhanga wa jambo hilo na mpaka leo limeniathiri kisaikolojia.
Nimezaliwa last born lakini tangu utotoni mama alikua anampenda sana kaka yangu tunayefuatana nae kiasi kwamba nilikua najisikia vibaya but BABA was on my side!! (APUMZIKE KWA AMANI). Kilichotokea tangu kaka akiwa darasa la tano alianza kudokoa vitu vya nyumbani na kucheza pull table. Kipindi hiko pia kulikua na matumizi ya juu sana ya Kuberi. In short alianza na kuiba kabisa vitu vya nyumbani,majirani na mtaani. Baba akimkanya na kumpeleka polisi mama anamzunguka baba na kwenda kumtoa. Now my brother is 37Years bado anaishi nyumbani na kawa mzigo kwa mama na familia kiujumla. Alipelekwa shule ya Seminari but alifukuzwa akiwa Form Two kwa utovu wa nidhamu, by the time i was among the best students na nilisoma kwa hasira mpaka kumaliza elimu ya juu baadae mama ndo akaanza kujisogeza kwangu😂 huwa nikimkumbusha alovyokua hanijali anaumia maana nae sasa ni Mzee wa miaka 75.
So huwa naangalia tu matokeo ya upendo wa kuspoil watoto na kudekeza watoto na mimi nimejifunza jinsi ya kulea wanangu wawili Mungu alonijaalia.
Seems hampo pamoja na huyo mwanamke uliompenda, what happened? Na yeye kuna mtu alikua anampenda zaidi ambae sio wewe?Mimi binafsi kati ya watoto wangu watatu katika mama tofauti. Mtoto mmoja ninampenda sanaa kuliko wengine sababu alizaliwa na mwanamke ambaye nilimpenda sana basi automatically nikajikuta kumpenda sana mtoto. Wale wengine ndio hivyo tu kwasababu wananiita baba.
🤣 🤣Vipi mkuu ulitoa pumba za mchele? 😄