Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Zipo sababu nyingi Kuna wale watoto wana ukaribu zaidi na wazazi wao kuliko wengine, pia kuna ile unakuta labda familia ilikuwa ina watoto either wa kiume tu au wa kike tu ikitokea amezaliwa mtoto wa jinsia nyingine basi upendeleo unaweza kuwepo, pia Kuna ile ukaribu wa kitabia kati ya mzazi na mtoto mfano labda mzazi ni mtu wa dini sana akatokea mtoto akafuata nyayo za mzazi na yeye kuwa mtu wa dini sana inaweza pelekea kupendwa zaidi ya wenzie. nk.
 
Huyo mtoto Abbas Chota huenda ni michezo😂 kabla sijakua nilikuwa sielewi ila kwa sasa huniambii kitu. Hii dunia iacheni kama ilivyo. Watu ni waharibufu sana
 

Umechambua vema sana kaka.
 

Ni kweli kabisa umechambua vema. Na wazazi wana huruma sana.
 
Mimi hua naona watoto wanaopendwa na wazazi huishia kuwa walevi, watukutu n.k. Maana nafikiri hua wanadekezwa na kupewa kila wanachotaka
Ni kweli ukimpenda sana na kumpa kila anachotaka mtoto una muharibu.
 

Dah mfano ulio hai na unaishi. Ila jamaa amekuwa na mwisho mbaya. Na mara nyingi wazazi wao wakifariki huwa wanaumia sana watu wa namna hiyo.
 
Ukishajijua wewe ni fungu la kukosa, simama imara kabisa, jua wataka nini kwenye maisha yako.
Ishi maisha yako
Acha kujipendekeza
Ishi maisha yako.

Hapa issue sio maokoto,
Sio mafanikio,
Sio tabia njema

Huyo anakuwa amechaguliwa
Na mtu huchaguliwa bila sababu

Oa mapema
Pata watoto wako
Jenga nyumba zako
Maisha lazima yaendelee

N.B sisi kina black sheep huwa tunajijua
 
Dah hatari sana, akakuongezea zaidi sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…