Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

MAma yangu anawapenda watoto wa 3 mimi nilipendwa na baba yangu sana alipokufa nililia sana niliona ndio mwisho wangu sasa hivi nipo na yuda ambaye ni bi mkubwa na mayuda wenzake
Bado hajaanza kukupenda tuu.
 
Ni kweli japo binafsi nimejitahidi kuwapenda wote

Labda huko mbele ya safari nikisikia wameanza kupanga mipango ya kunitanguliza ahera ili wapate kugawana Urithi
Hongera mkuu kwa kubalance. Tuombe wewe wema mpaka mwisho.
 
Ndio inavyokuwa mara nyingi baba kupenda mabinti zao na mama kupenda watoto wa kiume.
 
Hongera mkuu kwa kubalance. Tuombe wewe wema mpaka mwisho.
Aamini Mkuu 🙏🙏

Ukifanikiwa kupata vijana watiifu, hata siku ukidondoka na kuaga Dunia, unajua umeacha watu sahihi kwaajili ya kuendeleza jina la ukoo wako
 
Aamini Mkuu 🙏🙏

Ukifanikiwa kupata vijana watiifu, hata siku ukidondoka na kuaga Dunia, unajua umeacha watu sahihi kwaajili ya kuendeleza jina la ukoo wako
Kabisa kaka. Unakuwa na furaha na amani katika uzee wako na hata ukiondoka unajua ukoo utendelea vema na watatunza mali kwa manufaa yao.
 
Mamaa favorite 😁
 
Najivunia mama yngu 🤣 sijui siku akifa na mimi nipo hai itakuaje😭
Ni kama baba yangu alizaliwa wa kiume pekee yake basi bibi yangu alikuwa anampenda sana. Siku bibi alipofariki aliumia sana. Akasema mama yangu kafariki bado kijana wakati alikuwa mzee wa miaka 85.
 
Ana tabia nzuri huyu hata ukimuachia mali awape wengine watapata sawasawa.
Broo wangu yuko hivi… vitu anatufanyia wadogo zake nasema kabisa mimi misingeweza.🤦🏾‍♂️

Lakini bado mama ananipenda sana mimi 😁
 
Ni kama baba yangu alizaliwa wa kiume pekee yake basi bibi yangu alikuwa anampenda sama. Siku bibi alipofariki aliumia sana. Akasema mama yangu kafariki bado kijana wakati alikuwa mzee wa miaka 85.
Wakiume tupo wa 3 kaka yangu mimi na mdogo wangu wa kike wa 5
 
Anakuwa amechaguliwa na nani mkuu?
 
Watoto walionyooka huwa wanageuka kuwa punda wa familia ,kubebeshwa mizigo ya watukutu wote katika familia hiyo waliokataa misingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…