Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Ndio, hao watoto wa mama huwa hawakui. Anaweza fikia mpaka anazeeka mama yake anampiga tafu za maisha. Au anatoka home, maisha yakompiga anarudi home kwa bimkubwa, na bimkubwa anampokea fresh tuu. 😊
Hao wapo aise na nimewashuhudia anapewa mtaji let say 10M anakwenda kulewea na kufanyia starehe ikiisha a arudi Tena home bi mdashi anampa Tena nyingine
 
Ndio, hao watoto wa mama huwa hawakui. Anaweza fikia mpaka anazeeka mama yake anampiga tafu za maisha. Au anatoka home, maisha yakompiga anarudi home kwa bimkubwa, na bimkubwa anampokea fresh tuu. 😊
Akilia shida tu kidogo bi mkubwa ana haha balaa
 
WEPESI WA MTOTO TANGU AKIWA MDOGO..
Mtoto mwenye mwili mwepesi na asiye kuwa mbishi mbishi na anayefanya majukumu anayo agizwa chap, asiye na kiburi/hasira, asiye nuna nuna - anapendwa kuanzia nyumbani, shuleni, kazini na hata mtaani
 
Na mara nyingi matoto matukutu ndio yanapendwa na mama zao.

Tabia mbaya kubagua watoto, iwe kwa mafanikio yao au vinginevyo.
Mzee ni kweli, kubagua watoto si Jambo jema.

Mimi sibagui ila Ka babe girl kangu yaan hahah very hard to say but yaan kuna namna tunaelewana saana

Kuna Ile kakisema Jambo sipindui. Hahaha eti huwa wanamtuma yeye mambo aombe Kwa niaba,

Kuna mambo ni natural
 
πŸ₯Ί

Kipi kilisababisha ubadilike ilhali ulimpenda that much?
Nilipoteza kazi kwa uzembe, kuondoa mawazo nikajikita kwenye ulevi.
Ulevi ukapelekea nikatengana nae.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usije ukaanza kuchokonoa na kutafuta mambo mkuu. Mimi natanania tu na Wala simaanishi.
Mimi sina mambo mengi nimemuachia Mungu, kikubwa watoto hawana hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…