Mshana kuna vitu vya ndani sana huwa unavijua huwa nikisoma comments zako, lakini huwa unaweka kwenye mabano sana. Wengine tusio wanafasihi, au kwa kufeli kwetu to read between lines; huwa tunatoka kapa uwe unafunguka kidogo mkuu ndiyo raha ya jukwaa hili.
Sasa kama muda mwingi anautumia kuwaza kati ya Mkodishaji wa Gari isiyo halali yake na Mmiliki wa Gari halali yake atawezaje kuwa na Ufanisi kila anapopangiwa? Naomba niishie hapa tafadhali.
View attachment 990417
Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa?
Kairuki ndani ya miaka 3:
Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Octoba 2017- Waziri wa Madini
Januari 2019- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji.
Je, anahamishwa kama promotion au demotion?
Mwanzoni aliunganisha wizara na zingine kuzifuta ili kupunguza ukubwa na gharama lakini sasa hivi zinaundwa mpya ili watu wapate TEUZI!
Poa mkuu.Asante kwaonyo mkuu ,yasinikute ya shabiby
Mkuu kashatahadharisha hapo hamna namna tena aiseeNimecheka sana!
Ila huyu mama ana kasura flani hivi kanakoweza kukufanya ujione una kilakitu kama uko nae.
Na kwa wale wenye ugonjwa wa wanawake weupe kama mimi....
Kama kuna mbinu ya kumpata inabidi umpate tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
ukituma nini kitatokea mkuuKikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
Jaribu tu mkuu ili upate matokeo yakeukituma nini kitatokea mkuu
Jaribu tu mkuu ili upate matokeo yake
Yani hata dereva wake anafaidi sanaNimecheka sana!
Ila huyu mama ana kasura flani hivi kanakoweza kukufanya ujione una kilakitu kama uko nae.
Na kwa wale wenye ugonjwa wa wanawake weupe kama mimi....
Kama kuna mbinu ya kumpata inabidi umpate tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka Namba yakeKikubwa tu usitume SMS kwenye namba ya Mh Angela Kairuki
the spy who loved me-007 James BondWengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Kina cha mto hakipimwi kwa miguu yote mkuu!Jaribu tu mkuu ili upate matokeo yake
Yani hata dereva wake anafaidi sana
Bado najipenda mkuu, bwana mkubwa anadukua sana
huwezi kuwa waziri wa wizara ya maspy then we usiwe spy, ukisikia utawala bora ujuwe ndio nyumbani kwa maspyWengi wanatumbuliwa yeye anahamishwa tu labda ni spy.!
Hawezi,anatisha tu.Wadukuaji huwa hawasemi hadharaniBado najipenda mkuu, bwana mkubwa anadukua sana