Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

Dah, kijana atakuwa ameona aibu sana 😂.
 
Kama mwili na viungo vingine huchoka na kukonkoroka kabisa na ubungo nao hivyo hivyo
 
leo dada inaonekana mitandao haijakuathiri vibaya hongera sana.
Mitandao iliniathiri lakini niliwahi kujirekebisha.
Ukienda chuo ilikuwa full kutafuta video za mikulano zile CD.
Hujakaa sawa DStv enzi hizo kulikuwa na chaneli kuanzia saa 9 mpaka 12asubuhi ni mizagamuano. Hujakaa sawa ze utamu, mara Nancy mitikisiko huku mama u uturn muke ya mzungu na jinsi ya kukwangua kissimi
Huku washa washa yaani tafrani.
Mara jambo forum ikaja jamii forum na jukwaaa lake la wakubwa. Na mengineyo mpaka sasa.
Tunaenda taratibu
 
Wazee tunaenda na trendy hapa tuko juu ya meza na makombolelo.
Huko ofisini usiwazie kabisa,, tulisha rudisha umri nyuma tunakua hatuzeeki.
Bila Figo kufeli au ajali ya kifo viti mtavisikia ajira portal.
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…